Mtoto mdogo kujisaidia ovyo

Mtoto mdogo kujisaidia ovyo

MusuKuma

Member
Joined
Jan 30, 2021
Posts
33
Reaction score
87
Wapenzi habari zenu..

Kuna mtoto wa 5 years huwa akibanwa Hana ghafura huachia mzigo bila hata kuubana .

Kuna muda utamchapa lakini ukimchapa asubuhi mchana anarudia Tena , ukifanya hivyo jioni Tena kajisaidia.

Yaani akisema nataka kwenda chooni tayari yeye kaachia mzigo.

Je tumsaidieje?
 
Badilisha fimbo ya kumchapia hiyo haimuumi vizuri😂😂
 
Wapenzi habari zenu..

Kuna mtoto wa 5 years huwa akibanwa Hana ghafura huachia mzigo bila hata kuubana .

Kuna muda utamchapa lakini ukimchapa asubuhi mchana anarudia Tena , ukifanya hivyo jioni Tena kajisaidia.

Yaani akisema nataka kwenda chooni tayari yeye kaachia mzigo.

Je tumsaidieje?
Aghlab matatizo yanaowakumba Watoto wachini wa miaka6 kujikojolea kitandani au kujinyea ovyo bila kuwahi kutamka anachotaka kusema ni matatizo yanaoletwa na majini. Na kwa asilimia kubwa watoto wanaathirika kuanzia miaka miwili. Mtoto anapewa kiburi na kutojali amri anazopewa. Ubongo wake unafungwa na unapozidi kutoa vipigo ndo anazidisha kutenda . Chakufanya anza kua mpole kwake. Acha kumpa vitu Vingi vya Sukari. Chukua muda umfanyie maombi ya Dua au ya Sala inategemea na imani yako. Kisha unamtafutia Dawa hii "TUHUFAT AL ANZM" Anatakiwa apate dozi2 kwa zaidi ya siku21.. Kwa uwezo wa mwenyezimgu atapona na Ubongo wake utafunguka awe was kawaida
 
Miaka mitano mingi sana mtoto kujinyea. Ataanzaje shule?

Huwa muda wa kupuu ni baada ya kula au muda wowote tu?
Muda mwingine fimbo hazisaidii inabidi kumfuatilia na kujua muda wake wa kupuu, mpunguzieni chakula pia labda anabugia sana, pia unaweza kuona wataalamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom