Carina
Senior Member
- Jan 4, 2011
- 194
- 71
Wanajamvi mtoto wangu ana siku ya 4 leo ila tangia majuzi jicho lake moja linakuwa na matongotongo mengi sana!
Alivyozaliwa tu jicho moja lilikuwa linatoa matongotongo kama siku moja (yaani masaa kadhaa tu) halafu likaacha! Ndo likahamia kwenye jicho la pili ila ndo limekaa sana siku ya tatu leo. Je hii ni kawaida?