Mtoto kubemendwa

Mtoto kubemendwa

ungepaswa kumuuliza mkeo ili ujue. huenda mtoto aliugua, pia watoto wengi wanapopitia stage tofaut tofauti kama kutembea huwa wanaharisha hyo pia inaweza kua 7bu ya mtoto kupungua, pia fwatilia lishe ya mtoto kwani umesema yupo juu ya miezi 6, angalia kadi ya clinic utaona kama anapungua au kuongezeka, mwisho nimekupenda kwa kufikiria hali ya mwanao kwan wanaume wengne hata haliwapiti kichwan
 
kubemendwa kupo ila mtoto ankuwa mdhoofu na kuhara makamasimakamasi kila wkt hata akichuchumaa anaharaa asimame anaharaa umweke ktk dish kumwogesha anaharaa na tumbo kuwa kuubwaa na vidonda mshenzi vya majipujipuu na kamasi lisiloishaa mvivuu hata kucheza JE MWANAO YUPO HIVYO? pengine tu ni kamwili kakee mi ninaye wangu hapa ana 9yrs kashupaaa ni mwembamba huyooo nachokazana ni afya njema na kula vzr mwili utakuja tu baadae maana hata mie nilikuwaga nyembamba saana mpk upepo ukija nashkilia pahali but sasa natafuta dawa ya kupunguza mwenye kujua slimng tea nzr aniambie.
 
Mtoto anatake ale vizuri tu. Watu tunachapa vizuri2 na mtoto ananawiri. Weka pochi la maana mtoto apate diet ya kutosha. Haya masuala ya kubemendwa ni sawa na ushirikiana tu.
 
Kubemenda ni kauli ya kutisha watu wasichepuke kipindi cha unyonyeshaji na wakati mtoto ni mdogo sana ili mama akae alee na kutumia mda mwingi kutimiza mahitaji ya mtoto kama kunyonyesha vizuri,usafi nk.

WW unadhani kama kubemenda ni kitu ambacho kipo je watoto wanaozaliwa ktk ndoa ila mama alibemba mimba ya mchepuko na anamsingizia baba wangekuwaga na afya gani..!? maana mme anatifua uchaka kila akiuhitaji kuchuja uchupa na mama anampa bila hiyana ili hali akiwa ananyonyesha mtoto wa mchepuko.

hakuna kitu kama kubemenda kisayansi, na ukiona mtoto ananyoofika angalia lishe yake ni kamili,hana utapiamlo,minyoo,kwashakoo na magonjwa mengine... Mpeleke clinic utapewa ushauri namna ya kulishinda tatizo la afya mbaya kwa mtoto
 
kubemendwa kupo ila mtoto ankuwa mdhoofu na kuhara makamasimakamasi kila wkt hata akichuchumaa anaharaa asimame anaharaa umweke ktk dish kumwogesha anaharaa na tumbo kuwa kuubwaa na vidonda mshenzi vya majipujipuu na kamasi lisiloishaa mvivuu hata kucheza JE MWANAO YUPO HIVYO? pengine tu ni kamwili kakee mi ninaye wangu hapa ana 9yrs kashupaaa ni mwembamba huyooo nachokazana ni afya njema na kula vzr mwili utakuja tu baadae maana hata mie nilikuwaga nyembamba saana mpk upepo ukija nashkilia pahali but sasa natafuta dawa ya kupunguza mwenye kujua slimng tea nzr aniambie.

Basi sawa mkuu, mtoto anacheza vizuri tu hahalishi wala hana tatizo ila kanwili ndo kananitisha.
 
Pole kiongozi kwa afya duni ya mtt. Kiufupi kubemendwa hakuna uhusiano kabisa na mama kufanya mapenzi nje ama ndan ya ndoa. Kubemendwa husababishwa na lishe duni tu, hasa nutrients ktk vyakula. Pia kama mtt hapati maziwa ya mama ya kutosha akapewa vyakula mapema, yaweza kuwa sabab, bali c ktk kufanya mapenzi. Mwamin mkeo, na umcctze kumnyonyesha sana mtt, pia mama ale na kushba. Mwisho ulitakiwa ukamcheki mtt afya, anaweza kuwa anaumwa pia.
 
Kubemenda ni kauli ya kutisha watu wasichepuke kipindi cha unyonyeshaji na wakati mtoto ni mdogo sana ili mama akae alee na kutumia mda mwingi kutimiza mahitaji ya mtoto kama kunyonyesha vizuri,usafi nk.

WW unadhani kama kubemenda ni kitu ambacho kipo je watoto wanaozaliwa ktk ndoa ila mama alibemba mimba ya mchepuko na anamsingizia baba wangekuwaga na afya gani..!? maana mme anatifua uchaka kila akiuhitaji kuchuja uchupa na mama anampa bila hiyana ili hali akiwa ananyonyesha mtoto wa mchepuko.

hakuna kitu kama kubemenda kisayansi, na ukiona mtoto ananyoofika angalia lishe yake ni kamili,hana utapiamlo,minyoo,kwashakoo na magonjwa mengine... Mpeleke clinic utapewa ushauri namna ya kulishinda tatizo la afya mbaya kwa mtoto

Asante sana kwa inputs za minyooo kwashakoo n.k. will do that
 
Kweli wewe ni fundi
 
Kwanza hiyo kitu kubemenda huwa haipo, ni story tu ilikua inatumika na wazee ili kuweka discipline kwa mwanamke mwenye mtoto mdogo "watu wasipige"....
Mwanamke akishatumika huko anaogopa kunyonyesha kwa Hofu Ya kubemenda mtoto, sasa kinachomdhoofisha mtoto hapo ni hiyo kuacha kunyonyeshwa. Ni kama story ya mjamzito hatakiwi kula mayai kwamba mtoto atazaliwa hana nywele hiyo kitu haipo ni vitisho tu kuzuia vitu flani flani.
Ulitakiwa umuulize na muongee kuhusu afya ya mtoto na sio kuhisihisi....kulea sio kazi ndogo.

kwa hiyo Evelyn Salt akipigwa machine haina effect kinacho matter ni lishe tuu
 
Last edited by a moderator:
kubemendwa kupo ila mtoto ankuwa mdhoofu na kuhara makamasimakamasi kila wkt hata akichuchumaa anaharaa asimame anaharaa umweke ktk dish kumwogesha anaharaa na tumbo kuwa kuubwaa na vidonda mshenzi vya majipujipuu na kamasi lisiloishaa mvivuu hata kucheza JE MWANAO YUPO HIVYO? pengine tu ni kamwili kakee mi ninaye wangu hapa ana 9yrs kashupaaa ni mwembamba huyooo nachokazana ni afya njema na kula vzr mwili utakuja tu baadae maana hata mie nilikuwaga nyembamba saana mpk upepo ukija nashkilia pahali but sasa natafuta dawa ya kupunguza mwenye kujua slimng tea nzr aniambie.

Umesema vizuri, wengi wa wachangiaji ni wapotoshaji. Mimi na mkewangu mwaks flan tulimpeleka mtoto wetu clinic amana alipopimwa hakuongezeka uzito mwezi huo, Wauguzi walituambia kama tunakutana Mara kwa Mara tuache tutamharibu mtoto. Mleta Uzi ungeenda clinic kujua nini tatizo.
 
Mtoto akipupu hayo makamasi kamasi ni amoeba, kula kula uchafu wakati anacheza hakuna hiyo kitu kubemenda
 
Umesema vizuri, wengi wa wachangiaji ni wapotoshaji. Mimi na mkewangu mwaks flan tulimpeleka mtoto wetu clinic amana alipopimwa hakuongezeka uzito mwezi huo, Wauguzi walituambia kama tunakutana Mara kwa Mara tuache tutamharibu mtoto. Mleta Uzi ungeenda clinic kujua nini tatizo.

Simple logic kama kila saa mpo mnagegedana mtoto ananyonyeshwa mida gani? Au chakula anapewa saa ngapi hiyo kubemenda haipo
 
kwanza ulitakiwa umpeleke mtoto hospital na si kuishi na assumption........... kubememnda ndiyo nini?
 
Peleka mtoto Hospital akapimwe afya yake.

Jee, wewe na huyo mchumbako mmeshapima?
 
Kwanza hiyo kitu kubemenda huwa haipo, ni story tu ilikua inatumika na wazee ili kuweka discipline kwa mwanamke mwenye mtoto mdogo "watu wasipige"....
Mwanamke akishatumika huko anaogopa kunyonyesha kwa Hofu Ya kubemenda mtoto, sasa kinachomdhoofisha mtoto hapo ni hiyo kuacha kunyonyeshwa. Ni kama story ya mjamzito hatakiwi kula mayai kwamba mtoto atazaliwa hana nywele hiyo kitu haipo ni vitisho tu kuzuia vitu flani flani.
Ulitakiwa umuulize na muongee kuhusu afya ya mtoto na sio kuhisihisi....kulea sio kazi ndogo.

Kumbe naweza kula mzigo tu kama kawa..Ahsante mpendwa kwa kunifahamisha hili
 
Back
Top Bottom