Mtoto kubemendwa

Mtoto kubemendwa

Ni baba wachache wanaoweza kufatilia haya, teh wengi wakijitahidi wanafoka kwanini mtoto ana uzito kidogo sa sijui tuwajaze mchanga

Da umenikumbusha ngoja niulize na wakwanhu kama kampeleka crinik mwezi huu maana nilisha sahau
 
Iko hivi , kama mama huishi nae matatizo yanaweza kuwa yote mawili lishe na kubemendwa ama mojawapo. Malezi ni gharama hata hivyo malezi ni uelewa yaani elimu na ufuatiliaji. Mama asiyeishi na mumewe huwa ana tabia ya kufrustrate na kutojali mustakabali wa mtoto hasa kama baba ni mgumu wa kutoa fedha. wengine ukiwapa fedha wanaenda kutengeneza nywele saloon na kumshindilia mtoto vyakula vya wakubwa -hamnunulii unga lishe ,hamnunulii maziwa .wamama wengine kiguu na njia anamwacha mtoto kwa ndugu zake anacheza na udongo na anaumwa mbu-hapo tegemea homa na khara mara kwa mara.

Kuhusu kubemendwa hilo lipo na linagharimu afya maana mtoto anaharisha sana akinyonyea -kunyonyea ni kunyonya maziwa ya mama aliyelala na mwanamume mwingine-jambo hilo si gumu kufahamu-mtoto ananyongea ,anazubaa na anakua na ngozi ya mapele kama upele wa joto na nywele za njano japo anakula na kulala vizuri-mama akilala na mwanamume mwingine leo akarudi kumnyonyesha mwanae wiki hiyo hiyo mtoto ataonesha dalili haichukui muda .sasa kama huyo mama ana mtu wake anaekula nae uroda marakwa mara tatizo linakuwa kubwa zaidi
 
Dada mtumish nakusalim katika jina la....

Ha ha ngoja nizitafute dada, nliambiwa siku hizi lazima tuwalipe kodi...


Au mkono tupu unalambwa?
Sitaki hiyo Salamu yako
Teh vigezo na Masharti sharti kuzingatiwa
 
Vile dada mtumishi vipo, labda kama uwe ume vipdate vingine...

Ila ndio tunastrugle kupata competitive advantage...
Aah afu umenikumbusha kuupdate baadhi ya vitu teh[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Back
Top Bottom