Mtoto kubemendwa

Mtoto kubemendwa

Mawazo yako mabay yanasikitisha.

Kama uliona mtoto yupo hivyobcha kwanza ungempeleka hospitali kufanyiwa fuli chekap ili ujue yu mzima na upumue kwa raha.

Sasa unawaza kuliwa tunda lazima nawewe unakula ulipo
 
Ungemwuliza Mama wa mtoto unaweza kutuma matumizi mwanamke anafanyia mambo yake
 
Kubemenda ni Myth tu haina uhalisia wowote.
 
Iko hivi , kama mama huishi nae matatizo yanaweza kuwa yote mawili lishe na kubemendwa ama mojawapo. Malezi ni gharama hata hivyo malezi ni uelewa yaani elimu na ufuatiliaji. Mama asiyeishi na mumewe huwa ana tabia ya kufrustrate na kutojali mustakabali wa mtoto hasa kama baba ni mgumu wa kutoa fedha. wengine ukiwapa fedha wanaenda kutengeneza nywele saloon na kumshindilia mtoto vyakula vya wakubwa -hamnunulii unga lishe ,hamnunulii maziwa .wamama wengine kiguu na njia anamwacha mtoto kwa ndugu zake anacheza na udongo na anaumwa mbu-hapo tegemea homa na khara mara kwa mara.

Kuhusu kubemendwa hilo lipo na linagharimu afya maana mtoto anaharisha sana akinyonyea -kunyonyea ni kunyonya maziwa ya mama aliyelala na mwanamume mwingine-jambo hilo si gumu kufahamu-mtoto ananyongea ,anazubaa na anakua na ngozi ya mapele kama upele wa joto na nywele za njano japo anakula na kulala vizuri-mama akilala na mwanamume mwingine leo akarudi kumnyonyesha mwanae wiki hiyo hiyo mtoto ataonesha dalili haichukui muda .sasa kama huyo mama ana mtu wake anaekula nae uroda marakwa mara tatizo linakuwa kubwa zaidi

Point Noted!!
 
Fuatilia kama mwanao anakula vizuri,watoto wengine ni wasumbufu kula hivyo lazima mwili uwe hauridhishi mkuu
 
Back
Top Bottom