Mtoto kubemendwa hutokea hivi

Mtoto kubemendwa hutokea hivi

Jc Simba

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
300
Reaction score
426
JE KWANINI KUWA NA MPENZI ZAIDI YA MMOJA AU ZINAA IMEKATAZWA?SOMA HADI MWISHO KUJUA SABABU *KISAYANSI*

Ndani ya manii mna kitu gani kitaalamu.
Ndani ya manii mna vitu vikuu vinne:
• PROTEIN,
• ACID,
• SPERM au CHROMOSOME,
• VIRUS.

PROTEIN: Ni aina mojawapo ya “Food
Substance” inayorutubisha mwili. Substance hii inapatikana ndani ya manii na pia watu wa mambo ya reproduction system (mfumo wa uzazi) wanakubali kwamba manii yanatokana na aina hii ya chakula na ndiyo maana kama una njaa shughuli ya Jimai inashindikana, au kamautajilazimisha utapata madhara.

ACID: Ni mfano wa tindikali, yaani kitu chenyeladha ya ukali mfano ndimu. Na kitu chenye tindikali kina kawaida ya kuunguza na piakulegeza kwa itakayompata au kumuingia, ndiyo
sababu kitaalam ukimlinganisha mwanamke aliyeolewa na asiyeolewa kisha akawa hafanyi zinaa maumbile yao yanatofautiana. Yule aliyeolewa mwili wake unakuwa laini zaidi
sababu ya acid inayopatikana ndani ya manii.

Nitakupa mifano mingi iliyo hai ili akili yako
ikubali kwamba vyote vinavyotajwa vinapatikana
ndani ya manii. Ukitaka kuthibitisha zaidi acid ya
katika manii ambayo inaunguza nakulegeza hata
ukiwa na kidonda kibichi ukitia manii kitauma
mara mbili zaidi sababu ya acid. Mfano
mwingine tazama kwa wale watoto wa kiume
ambao wanaingiliwa kinyume na maumbile
(mashoga) hata kama zamani alikuwa strong
(imara) kiasi gani akiingiliwa tu, basi analegea
kuanzia kutembea, kuzungumza na kila kitu
sababu ni Acid inayopatikana ndani ya manii.
Pia ndio maana inakatazwa kumuingilia
mwanamke anayenyonyesha sababu ukimuingilia
ukamuingizia manii
ambayo yana acid, acid ile itapanda katika
maziwa na kuyaharibu maziwa na hapo mtoto
akinyonya atanyonya
maziwa yenye acid. Itasababisha mtoto kulegea
au kwa watu wa pwani wanaita
kubemendwa, hivyo mtakua mmemharibu mtoto.
Lakini kama
atakula acid ya baba yake hatadhurika sana,
sababu atakula
acid ambayo kwa asili ndiyo iliyomtengeneza. Ila
mke akiziniwa na mtu mwingine mtoto
ataathirika sana na pengine itakuwa ni sababu
ya kifo chake kwa kuwa amekula acid ambayo si
ya asili kutoka kwa wazazi wake hivyo itakuwa
ni POISON (sumu) kwake. Kazi kubwa ya acid
kwenye manii ni kuua bacteria zisizohusika
zinazopatikana wakati zikitoka kuelekea katika
virginal wall.

SPERM: Ni mbegu za kiume zinazopatikana
ndani ya manii na hizi mbegu haziishi ndani ya
mwili kwa sababu ya hali ya joto la mwili, kwani
mtu wa kawaida ambaye haumwi anakuwa na
nyuzi joto 37 hivyo mbegu zitakufa kutokana na
joto la ziada. Wataalamu wa mambo ya
reproduction na gynecology wanatueleza
kwamba mshindo mmoja una wastani wa watoto
milioni 200 hadi 300. Lakini yanayofanikiwa
kulifikia yai ni mia moja tu. Na yanayofanikiwa
kuingia kwa kawaida ni moja au mawili yakizidi
sana manne tu, na si zaidi ya hapo, lau kama
yakizidi basi ni kwa miujiza yake Mwenyezi
Mungu.

VIRUS: Hivi ni vijidudu ambavyo kila mtu anavyo
vya kwake na pia haviingiliani baina ya mtu na
mtu
m na hapa ndipo tutaeleza kwa kina madhara ya
zinaa kisayansi. Lazima pia tujue kuwa Virus
wanafanya kazi gani na pia wanakwenda wapi.
Katika virginal wall kuna vijistomata (vitundu)
maalum kwa ajili ya kupokea virus; sababu
mwanaume anapotoa manii yake yenye
protein,acid sperm/chromosomes na virus kila
kimoja huchukua nafasi yake kwenda
kunapohusika. Nafasi ya virus ni kuingia katika
vitundu vilivyo katika virginal m wall ili vipate kuishi humo kwa kuwa ndipo alipowapangia Mwenyezi Mungu. Hivyo basi ukiwa unamuingilia mkeo na ukitoa manii basi moja kwa moja virus wako watakwenda kuingia katika vijitundu vilivyo kwenye varginal wall ili kuishi humo. Ina maana virus watakaoingia kuishi kwa mkeo ni wale ambao wamezoeana. Sasa ikija kutokea mkeo akazini na mwanaume mwingine ataingiziwa virus wasiokuwa wako. Hivyo hawa wapya wakiingia nao pia watataka kuingia katika yale matundu ili nao wakaishi. Kwa kuwa ndivyo alivyowapangia Mwenyezi Mungu, hawa wapya wakiingia tu wale wa zamani ambao ni wa mume, watawashangaa, watajiuliza hawa nao wametokea wapi? Mbona si katika wale tuliozoeana? Kwa kushangaa huku wale virus wenyeji watawashambulia virus wageni kama antibody bacteria (kitu kinachotoka nje yamwili). Na katika mapigano haya watapelekea kundi moja kufa na kundi moja likifa lazima wale waliokufa watoke, watatoka vipi? Au watatokea wapi?

Jibu ni pale pale walipoingilia. Hapo sasa ndipo mtu anapoanza kutokwa uchafu. Na pia virus wapya waliosalimika wakiona wanazidi kushambuliwa na virus wa zamani itabidi watoboe sehemu nyingine zisizohusika ili wakimbie na kujificha katika nyama laini. Hapo ndipo mtu anapoanza kupata maumivu makali wakati wa kukojoa na pia ndio chanzo cha magonjwa mbalimbali ya zinaa, na wakati huo mume akimuingilia mkewe naye pia atapata ugonjwa wa zinaa sababu atakutana na virus wageni waliojificha kujihami katika sehemu laini zisizohusika watamuingia mume kupitia mrija wa urinary truck (mrija wa mkojo).
Ndio sababu Mwenyezi Mungu akasema zinaa ni uchafu. Na uchafu unaokusudiwa ni kuchanganya mifumo tofauti ya mwili yaani mwanamke kuingiliwa na mwanaume zaidi ya mumewe pekee.

Na hapa ndipo tunapoona hekima ya Mwenyezi Mungu kwa mfano kwa baadhi ya dini kwamba kwa nini ameamrisha mwanamke kuolewa na mwanaume mmoja na mwanaume kuoa mwanamke zaidi ya mmoja, Hii ni kwa sababu mwanamke anapokea manii yenye kubeba VIRUS wa asili kutoka kwamumewe.

Ila ieleweke kuwa mwanaume atakiwa awe muaminifu kwa wake zake, akitoka nje ya ndoa zake atawaletea magonjwa wakeze. Hapandipo inapopatikana hekima ya mwanamke aliyefiwa na mumewe au aleyeachwa kwa talaka lazima akae eda. Eda si tu kuangalia kama mwanamke ana mimba, bali pia katika kipindi cha miezi mine na siku kumi ambacho mwanamke anakaa eda kwa kuwa katika kipindi hicho haingiliwi ina maana wale virus watakosa protein inayopatikana katika manii ambayo ndio chakula chao, hivyo kwa kukosa chakula watakufa. Kwa hiyo katika kipindi hicho mwanamke anaandaliwa ili kama ataolewa tena na mume mwingine huyu mume mpya ajitengenezee mifumo yake mipya ambayo haitapingana na ile ya mwanzo. Hivyo Mwenyezi
Mungu alipokataza ZINAA anajua kwa kina
madhara yake. Njia bora ya kupambana na
magonjwa mbalimbali.

Magonjwa hayo kwa kingereza ndio wanaita Sexual transmitted Diseases (STDs) na kweli yana madhara makubwa mno kwenye jamii yetu .

Nawasilisha.....
 
Umefanya research au ni mtazamo wako na jinsi unavofikiri?
Research mbali sana kiongozi ,baadhi ya maandiko ya kisayansi yanadhibitidha hivyo .

Na kwa udhibitisho zaidi angalia watoto wadogo wakibemendwa huwa wanachelewa mno kutembea kwa sababu ya ulegevu.
 
Research mbali sana kiongozi ,baadhi ya maandiko ya kisayansi yanadhibitidha hivyo .

Na kwa udhibitisho zaidi angalia watoto wadogo wakibemendwa huwa wanachelewa mno kutembea kwa sababu ya ulegevu.
ddcxdxxcddweezzdfc
 
Daaah
Hapa Umenikamata Kwa Kweli
Hata kama inawezekana umedanganya basi huu uongo utakuwa umetukuka na wenye manaufaa.
asante ndugu kwa elimu hii nahifadhi bandiko lako
 
Aiseeeeeee,mwanaume anaweza akawa anawanawake wengi na bado asimbemende mtoto.
 
Elimu nzuri ila punguzen kukopi maana hii elimu ipo zaidi ya uzi zaidi ya kumi
 
Kumbe faida ya mwanamke kukaa eda siotu kwa ajili ya kutizamia kuwa anaujauzito duh..! kwel mkuu yan umenipatia elimu ambayo nilikuwa siifaham kabisa Asee kweli Zinaa ni uchafu tujihadhari nayo...
 
Mkuu kama unaongea kiroho uko sahihi kabisa..

Lakini kama ni sayansi basi huo ni uongo ulio tukuka....
Kisayansi nitaanza kupoint uongo wako niliouona ..

Kwanza
kabisa according to anatomy and physiology hakuna njia ambayo base iliyoko kwenye semen inaweza kufika kwenye maziwa ya mama (kwa hilo naomba uwaombe radhi uliowadanganya)

Pia katika semen HAKUNA ACID bali kina BASE

Pili
Katika content za semen hakuna virus (labda kama mtu atakuwa yuko infected na virus) lakin katika normal condition hio content ya virus labda uandike vitabu vyako vya physiology uiongeze......

Hayo ni machache kati ya uongo mwingi uliouandika...

Nikipata muda ntakuja kukukosoa zaidi
 
mkuu umeniwahi ,kama kaongea kwa Imani yake sawa lakini kisayansi ni uongo uliovuka mipaka
anaongelea acid ,hajiulizi kwa nini limao linatumika kama njia ya kuzuia ujauzito pale mwanamke anapoweka sponji iliyolowekwa kwa maji ya limao kwenye K nusu saa au pungufu ya hapo kabla ya kufanya mapenzi
je anajua kuwa acidi inaua mbegu za kiume
Eti kuna virus labda kuna kitu alitaka kusema ambacho ameshindwa kukipa jina
Mkuu kama unaongea kiroho uko sahihi kabisa..

Lakini kama ni sayansi basi huo ni uongo ulio tukuka....
Kisayansi nitaanza kupoint uongo wako niliouona ..

Kwanza kabisa according to anatomy and physiology hakuna njia ambayo acid iliyoko kwenye semen inaweza kufika kwenye maziwa ya mama (kwa hilo naomba uwaombe radhi uliowadanganya)

Pili
Katika content za semen hakuna virus (labda kama mtu atakuwa yuko infected na virus) lakin katika normal condition hio content ya virus labda uandike vitabu vyako vya physiology uiongeze......

Hayo ni machache kati ya uongo mwingi uliouandika...

Nikipata muda ntakuja kukukosoa zaidi
 
mkuu umeniwahi ,kama kaongea kwa Imani yake sawa lakini kisayansi ni uongo uliovuka mipaka
anaongelea acid ,hajiulizi kwa nini limao linatumika kama njia ya kuzuia ujauzito pale mwanamke anapoweka sponji iliyolowekwa kwa maji ya limao kwenye K nusu saa au pungufu ya hapo kabla ya kufanya mapenzi
je anajua kuwa acidi inaua mbegu za kiume
Eti kuna virus labda kuna kitu alitaka kusema ambacho ameshindwa kukipa jina
Tena huyu jamaa angeshauriwa akomae na fani yake....
Huu ushauri awaachie watu waliosomea..
Na sio kupotosha umma namna hio
 
Back
Top Bottom