Wala simtishi sweetlady ila namwambia kweli asije rudisha majeshi kwa mchumba wake na kuhamishia kwa huyu wa kukutana naye kwenye simu...Simu za mkono zimeleta mambo!!! hukawii kupata mchumba fasta fasta LOL! akakuganda kama luba!!!
Hahahahaha.....inabidi awe makini manake mwenzie kafa kaoza! Chezeiya mapenzi ya kwenye simu BAK!
Mdada alikuwa anasafiri kwenda Mwanza na ndege, akapiga simu kuita taxi ili impeleke Airport, kumbe akakosea akapigia njemba ambayo nayo ilikuwa inaenda Mwanza katika ndege ile ile. Basi njemba haikuwa na hiyana ikaamua kumpa lift dada mpaka kiwanjani, huku na kule penzi likaanza rasmi wote wakanogewa na hatimaye kufunga pingu za maisha.
Source: JF
Ndio hapo sasa mnuno nyumbani tangu asubuhi mpaka usiku wa manane...
Afu unanuna tuuuu bila sababu za msingi.....ukiulizwa vipi? eti aaah nimejichokea na mambo yangu ya kazini lol.....kutwa busy unachat na njemba.....mara lunch time baby......wa nyumbani wala hujui kama kala au hajala.....afu haya mapenzi ya simu yanajua kukoleza sana BAK walah usipokuwa muangalifu unavunja ndoa/uchumba hivi hivi lol!
Kabisa Sweetlady mapenzi ni kizungumkuti na ndio maana hivi vilongalonga vinaleta matatizo sana...waume kwa wanawake hutaka kuvipekuapekua kila wakati ili kuhakikisha hakuna lolote linalotishia mahusiano yao.
Na ukijitia kupekua sana wakati mwingine ni kujitafutia kisukari na presha........kesho nikumbushe nikupe hadithi ya kupekua na madhara yake!
afu haya mapenzi ya simu yanajua kukoleza sana BAK walah usipokuwa muangalifu unavunja ndoa/uchumba hivi hivi lol!
mapenzi ya namna hii mara nyingi huwa ni usanii tu... siku ya siku jamaa likikutema unakuta umekosa mwana na maji ya moto..
mwanamke mwenyewe anajifanya anamsimamo kumbe mi naona hamna kitu, nipo makini naye mno but mi siyo kwamba nimempenda ila tu namenjoy na nataka nijue mwisho wa mimi na yeye utakuwajeHaswaaa cartura.....ndio mana kuwa mwangalifu ni jambo jema!......akikuuzia cheni ya bandia na wewe mpe pesa bandia .....mwisho wa siku hakuna kujuta!
Mkuu hapo kilichobakia ili kumkatisha tamaa ni kuwa mzembe kunako sita kwa sita, onesha 10% efficiency, hakyanani ataondoka tu.