Mtoto kakolea haswaa, hanijui cmjui ila kanipenda

anakuvutia kasi tu huyo, ngoja akuweke sawa kwanza halafu usikilizie mizinga yake...
 
Hahahaha.....mbona unamtisha mwenzio BAK?

Wala simtishi sweetlady ila namwambia kweli asije rudisha majeshi kwa mchumba wake na kuhamishia kwa huyu wa kukutana naye kwenye simu...Simu za mkono zimeleta mambo!!! hukawii kupata mchumba fasta fasta LOL! akakuganda kama luba!!!
 
Last edited by a moderator:

Hahahahaha.....inabidi awe makini manake mwenzie kafa kaoza! Chezeiya mapenzi ya kwenye simu BAK!
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Mdada alikuwa anasafiri kwenda Mwanza na ndege, akapiga simu kuita taxi ili impeleke Airport, kumbe akakosea akapigia njemba ambayo nayo ilikuwa inaenda Mwanza katika ndege ile ile. Basi njemba haikuwa na hiyana ikaamua kumpa lift dada mpaka kiwanjani, huku na kule penzi likaanza rasmi wote wakanogewa na hatimaye kufunga pingu za maisha.

Source: JF
 
Hahahahaha .....hii nimeipenda BAK manake hatimaye waliishia kwenye pingu za maisha.....kasheshe ni pale unapokolezwa na njemba wakati unae mchumba / mume.....mbaya sana asee!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahaha .....hii nimeipenda BAK manake hatimaye waliishia kwenye pingu za maisha.....kasheshe ni pale unapokolezwa na njemba wakati unae mchumba / mume.....mbaya sana asee!

Ndio hapo sasa mnuno nyumbani tangu asubuhi mpaka usiku wa manane...
 
Afu unanuna tuuuu bila sababu za msingi.....ukiulizwa vipi? eti aaah nimejichokea na mambo yangu ya kazini lol.....kutwa busy unachat na njemba.....mara lunch time baby......wa nyumbani wala hujui kama kala au hajala.....afu haya mapenzi ya simu yanajua kukoleza sana BAK walah usipokuwa muangalifu unavunja ndoa/uchumba hivi hivi lol!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Tafuta unigold kabisa mbili akifika tu mpime ukimwi kusudi hata condom ikipasuka uoe sure kuwa ngoma huna labda other sti, akigoma kupima ujue si salama huyo. All the best.
 
Afu unanuna tuuuu bila sababu za msingi.....ukiulizwa vipi? eti aaah nimejichokea na mambo yangu ya kazini lol.....kutwa busy unachat na njemba.....mara lunch time baby......wa nyumbani wala hujui kama kala au hajala.....afu haya mapenzi ya simu yanajua kukoleza sana BAK walah usipokuwa muangalifu unavunja ndoa/uchumba hivi hivi lol!

Kabisa Sweetlady mapenzi ni kizungumkuti na ndio maana hivi vilongalonga vinaleta matatizo sana...waume kwa wanawake hutaka kuvipekuapekua kila wakati ili kuhakikisha hakuna lolote linalotishia mahusiano yao.
 
Na ukijitia kupekua sana wakati mwingine ni kujitafutia kisukari na presha........kesho nikumbushe nikupe hadithi ya kupekua na madhara yake!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Na ukijitia kupekua sana wakati mwingine ni kujitafutia kisukari na presha........kesho nikumbushe nikupe hadithi ya kupekua na madhara yake!

haya hata humu kuna mdada aliwahi kuandika kuhusu rafiki yake, alipata kipigo cha mbwa mwizi mpaka akaharibu ujauzito mchanga...kisa, kupekua simu ya mumewe na kukuta ujumbe wa nyumba ndogo ukiomba mahitaji ya nyumbani ambayo yalikuwa yanakaribia kwisha.
 
afu haya mapenzi ya simu yanajua kukoleza sana BAK walah usipokuwa muangalifu unavunja ndoa/uchumba hivi hivi lol!

mapenzi ya namna hii mara nyingi huwa ni usanii tu... siku ya siku jamaa likikutema unakuta umekosa mwana na maji ya moto..
 
Last edited by a moderator:
mapenzi ya namna hii mara nyingi huwa ni usanii tu... siku ya siku jamaa likikutema unakuta umekosa mwana na maji ya moto..

Haswaaa cartura.....ndio mana kuwa mwangalifu ni jambo jema!......akikuuzia cheni ya bandia na wewe mpe pesa bandia .....mwisho wa siku hakuna kujuta!
 
Last edited by a moderator:
Haswaaa cartura.....ndio mana kuwa mwangalifu ni jambo jema!......akikuuzia cheni ya bandia na wewe mpe pesa bandia .....mwisho wa siku hakuna kujuta!
mwanamke mwenyewe anajifanya anamsimamo kumbe mi naona hamna kitu, nipo makini naye mno but mi siyo kwamba nimempenda ila tu namenjoy na nataka nijue mwisho wa mimi na yeye utakuwaje
 
Daah aisee hii story tam kwel kweli, huyo dada..mbona cheap hivyo?anyways imekaa kitapeli na ki-risk
 
Mkuu hapo kilichobakia ili kumkatisha tamaa ni kuwa mzembe kunako sita kwa sita, onesha 10% efficiency, hakyanani ataondoka tu.

Wewe unamdanganya mwenzio. Hajaona sura yake, hips, na kuonja utamu wake unamshauri afanye kazi chini ya kiwango? Anaweza kuchanganyikiwa na uzuri wake akajituma kikwelikweli ili kumsahaulisha mchumba wake!
 
Mkuu usiwe happy sana coz wote bado hamjaonana, ila mkishaonana ndio nadhani utajuwa kama kuna mapenzi ya kweli msije kimbiana tu hiyo siku ya kuonana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom