Power G
JF-Expert Member
- Apr 20, 2011
- 3,884
- 1,200
Na mara nyingi huwa tunamtegemea huyo huyo kuwahudumia wenzake, na hapo ndipo machungu yote yanapotokea na kutamani kama ungeamka siku moja kwa miujiza ukamkuta kawazidi wenzake wote.Bahati mbaya zaidi ukute unamtegemea huyohuyo asiyekua kuwahudumua wenzake wanaokua kila siku......