Mtoto halali na Fedha!

MZIMU

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
4,057
1,371
Sasa nimeamini ni kweli mtoto halali na fedha. Hulala na Nepi ya Mikojo.

Kumbe maana ya Methali hii, unaporudi nyumbani kabla ya kulala jiulize umetengeneza fedha kiasi gani, na cashi kiasi gani umerudi nayo nyumbani kwenye walet yako!

Amakweli wazee wa zamani walikua na maana saana. Leo hii ndio nime ngamua maana yake, baada ya kutoka bafuni na kujiuliza hivi leo nimelala na sh. ngapi?.
 
Back
Top Bottom