Mimi nina ujauzito wa kwanza wa takribsni miezi 5. Hivi karibuni mtoto alikuwa kimya kwa takribani wiki [yaani hanipigi saana]. Kwa muda wote huo nilikuwa ndani tu bila kutoka hata nje nipigwe jua. Juzi nilitoka na hsz b wangu tukatembea kwa takribani 3km. nilichoka kweli kweli hadi miguu inaniuma. Kuanzia hapo sasa kababy kanazunguka speed ya ajabu utadhani piranha/samaki japo sipati maumivu. Je hii ni normal?