Mtoto analia sana na haongezeki uzito

Mtoto analia sana na haongezeki uzito

Nauliza na sio kwa ubaya.
Wewe ni mchaga?
Wachaga wana mambo ya kimila ambayo kama hujayatimiza utahangaika sana.
Kuna mchaga mmoja alikua na mtoto mdogo akasafiri naye kwenda sehemu nyingine kutoka Dar kabla ya kumpeleka mtoto Moshi. Mtoto alilia mwanzo mwisho, baada ya baba yake kupiga simu Moshi na kupewa maelekezo ya kimila mtoto alitulia kama maji kwenye mtungi.
We huonagi wachaga especially walio oa makabila mengine hua wana wapeleka watoto KLM mara tu wanapopata nguvu baada ya kuzaliwa.
Mzazi wa kichaga akikuambia usimuoe fulani, usije ukajifanya eti I LOVE HER. NA USIULIZE SABABU.
 
Habari za muda Wana jf
Poleni na hongereni kwa pilika za kutafuta mkate
Nina kuja kwenu nikiwa na changamoto ya mtoto

Nina mtoto WA kike ana miezi 9
Tangu azaliwe analia muda wote hata akinyonya bado analia tu muda mwingine anakuwa halii Ila anatoa sauti ya malalamiko hanyamazi kabisa
PIa analala kwa kuchelewa sana analala saa Saba usiku hata kama mama yake amelala nae kuanzia saa 2 usiku ukiacha kulia haongezeki uzito Leo ametoka clinic amekutwa na kilo 5.6
Tuliwahi kumpeleka hospitali wakasema vipimo vinsonyesha ana tatizo moyo unaonekana una shida haujakaa mahali pake tukaandikiwa t transfer Hadi jk hospital ya moyo
Walivyompima wamesema Hana tatizo Hilo, je nifanye nini?????
Hiyo ni njaaa tu.Mpe misosi mixer uji,celelak nk
 
Kama hujapata mtoto unawezadhani kulea ni raha sana🤣🤣🤣🤣.ndugu zangu kama una roho ndogo unaweza anza kulia pia.

Kuna siku nikaambiwa,oyaa nimehangaika naye kutwa nzima sijalala wewe uko kazini naomba unisaidie usiku huu namimi nilale,kapewa nyonyo hanyamazi,maji hanyamazi,kawashiwa feni labda joto hakuna,mpaka nikawaza bora ningekuwa na pombe nikape labda kangelewa kalale😁😁
 
Back
Top Bottom