Mtoto analia sana na haongezeki uzito

Mtoto analia sana na haongezeki uzito

Anashiba bila shaka
Hata kama haiwezi kuwa hivyo
Watoto wengi huwa hawashibi. Maziwa ya mama zao hayatoshi. Ndiyo maana ukiona analia kila wakati hata mtoto wa siku mbili, tunampa uji! Uji unachujwa na kitambaa ili kupata Yale maji maji na kumnywesha kwa kijiko. Akishakunywa tuvijiko vitatu utaona anacheua. Usingizi mara moja! Kuzaa si kazi, kazi kulea.
 
Alikuwa ametimiza miezi 9
Njia ya kawaida
hajawahi kupata tatizo
Ndio alilia kama kawaida hakuwa na changamoto yoyote
Alizaliwa na kilo 4.4

Mtoto anaweza kua na matatizo ya

Moyo

Mapafu

Matatizo ya Mfumo wa Chakula

Homoni mf, Homoni za ukuaji , thyroid

Matatizo ya Metabolic

Anahitajika zaidi Kwa Sasa kujikita kwenye Vipimo kuliko matibabu.

Kaonane na Daktari Bingwa wa Watoto.
 
Mpeleke shirika la ndondi wamtambue kama super heavy champion
 
Watoto wengi huwa hawashibi. Maziwa ya mama zao hayatoshi. Ndiyo maana ukiona analia kila wakati hata mtoto wa siku mbili, tunampa uji! Uji unachujwa na kitambaa ili kupata Yale maji maji na kumnywesha kwa kijiko. Akishakunywa tuvijiko vitatu utaona anacheua. Usingizi mara moja! Kuzaa si kazi, kazi kulea.
Dah huyu anapiga uji na mtori lkn wapi
 
Mtoto anaweza kua na matatizo ya

Moyo

Mapafu

Matatizo ya Mfumo wa Chakula

Homoni mf, Homoni za ukuaji , thyroid

Matatizo ya Metabolic

Anahitajika zaidi Kwa Sasa kujikita kwenye Vipimo kuliko matibabu.

Kaonane na Daktari Bingwa wa Watoto.
Sawa ndio nipo hospitali tunasubiri vipimo
 
Oooh Mungu awasaidie mkutane na mtu sahihi atayetambua changamoto inayomtesa huyo malaika.
 
Watoto wengi huwa hawashibi. Maziwa ya mama zao hayatoshi. Ndiyo maana ukiona analia kila wakati hata mtoto wa siku mbili, tunampa uji! Uji unachujwa na kitambaa ili kupata Yale maji maji na kumnywesha kwa kijiko. Akishakunywa tuvijiko vitatu utaona anacheua. Usingizi mara moja! Kuzaa si kazi, kazi kulea.
Kweli kazi kulea mwana mkuu. Unga upi mzuri mkuu?
 
Hebu Fanya hivi jaribu kuminya tumbo taratibu, taratibu kama hatalia basi anatatizo la tumbo Linamsumbua. Then mtafutie dawa na suggest mitishamba. Kama laa hana tatizo hilo basi ni pm nikupe alternative mtoto awe na tabasamu.
 
Habari za muda Wana jf
Poleni na hongereni kwa pilika za kutafuta mkate
Nina kuja kwenu nikiwa na changamoto ya mtoto

Nina mtoto WA kike ana miezi 9
Tangu azaliwe analia muda wote hata akinyonya bado analia tu muda mwingine anakuwa halii Ila anatoa sauti ya malalamiko hanyamazi kabisa
PIa analala kwa kuchelewa sana analala saa Saba usiku hata kama mama yake amelala nae kuanzia saa 2 usiku ukiacha kulia haongezeki uzito Leo ametoka clinic amekutwa na kilo 5.6
Tuliwahi kumpeleka hospitali wakasema vipimo vinsonyesha ana tatizo moyo unaonekana una shida haujakaa mahali pake tukaandikiwa t transfer Hadi jk hospital ya moyo
Walivyompima wamesema Hana tatizo Hilo, je nifanye nini?????
Fanya EEG
 
1. Wazazi wako waliridhia wewe kumuoa mama yake? Kama ni NO. karekebishe kwa wazazi.
2. Mkatie mtoto bima faster umpeleke JKCI tena.
3. Pole sana kwa changamoto ya kuuguliwa na mrembo.
 
Mkuu pole sana

Mambo yako ya kiimani yakoje? Kwenu kwa wazee mambo yako sawa?

Vipi kuhusu mkeo umeongea nae vizuri kuhusu kwao na mazingira ya kumpata mtoto?

Tuliza akili uchunguze yote kwa mapana
 
1. Wazazi wako waliridhia wewe kumuoa mama yake? Kama ni NO. karekebishe kwa wazazi.
2. Mkatie mtoto bima faster umpeleke JKCI tena.
3. Pole sana kwa changamoto ya kuuguliwa na mrembo.
Hivi kama wazazi walioana wao kwa mapenzi yao, ni hekima kuingilia mapenzi ya watoto wao?
 
Back
Top Bottom