UPDATE:
Jana jioni nilimnunulia nyama robo kisha nikakata vipande vidogovidogo na kuvikaanga akala. Sijaona hali hii ikijirudia. Nitarudia tena leo kisha ndawapa fidibeki
Habari zenu. Wakuu tangu wiki iliyopita, mwanangu (wa kike) amekuwa na tabia kwamba analala, usiku wa manane anamka ghafla huku anasema, 'nadai nyama yanguuu'. Atalia hivyo akidai nyama, na inaweza hata saa nzima akachukua kudai nyama. Na kimsingi sisi bajeti ya nyama ni mara 1 kwa wiki. Je hii itakuwa inaashiria nini?Au niongeze siku za kula nyama?Wenu Benokolongokonongose
Au ampikie hata kilo moja halaf wampe yote ale muwekeeni kwenye hotpot halaf mnapakulia kwenye sahani yake kila akimaliza muongezeenii akisema imetosha mnaacha kumpa,halaf muone usiku ataomba akiomba basi kuna kituu
UPDATE:
Jana jioni nilimnunulia nyama robo kisha nikakata vipande vidogovidogo na kuvikaanga akala. Sijaona hali hii ikijirudia. Nitarudia tena leo kisha ndawapa fidibeki
Hahahahaha. .. wengine wakiiona nao mate yatawatoka... nao wataanza kulia nyamaaaaaa....