Mtoto ana kipaji gani huyu?

Mtoto ana kipaji gani huyu?

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,986
Reaction score
168,507
198830_1793378267717_2187797_n.jpg
 
Huyo anakipaji kama changu maana mimi na utu uzima huu naondoka chapati 10 na maharage bakuli 3.
 
Msosi kwa kwenda mbele hamna kuremba
 
Ana kipaji cha kujtafutia huyu. Alivyozinyaka chapati ni kweli ahitaji maziwa ya mama zaidi ya nyongeza tu. Good job young son.
 
Ufizi unamuwasha hivyo mwenyewe anaukuna kwa chapati!!!
 
kula hali bali,mate anazipaka...
ole wako umpoke japo nusu,mziki utaucheza
 
Back
Top Bottom