CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 950
hi tracy.
Vp huyo mtoto aliyepotea kapatikana?
Vp huyo mtoto aliyepotea kapatikana?
Let's just hope little Collins finds a host as kind as you...Kweli namshukuru sana wife si kama baadhi ya wanawake wengine hakuonyesha kumchukia mtoto yule alikaogesha kwa kuwa tulikuwa na mtoto wa umri ule alichukua nguo za mwanetu akakavisha. Tulikaa nae kwa siku tatu ndipo mzazi wake alipokuja kumchukua. Mzazi wake(mamake) alipomwona alitokwa na machozi ya furaha.
Jamani huyo dogo bado tu kupatikana?
Oh God, the boy is cute. Mungu muwekee ulinzi wa malaika wako mpaka wazazi wake wampate.thank you for all the support Jf members, mtoto bado hajapatikana.
![]()
he last time alikuwa nyumbani and kwa bahati mbaya gate lilikuwa wazi, that's when he went missing.