Wasalamu ndg wanaJF......
Nimepotelewa na mtoto jana jioni maeneo ya KIMARA BARUTI mwenye wasifu ufuatao:
JINA: BENEDICT TUNGARAZA
UMRI: MIAKA 7
WAJIHI: MWEMBAMBA, MAJI YA KUNDE
ANAKOTOKA: IRINGA
ANASOMA: GANGILONGA S/M - IRINGA MJINI
MAVAZI: SHATI LA DRAFT NYEUPE NA DAMU YA MZEE, SURUALI YA KAKI, SANDALS ZA BLUE
in jesus name, the name above all names mtoto huyo tuna-declare kwamba yuko salama na kwamba jama kuna namna yoyote ile mbaya basi ishindwe na mtoto huyu atarudi na kuungana na familia yake akiwa hai na mwenye afya. Sisi tunamwamini mungu na mungu huyu ndie atakayemrudisha mpendwa wetu
Nadhani JF pekee haitoshi, ni vyema wahusika wakatembelea vituo vya luninga ili kupata msaada zaidi pia waende na hiyo picha ili iweze kuonyeshwa na vituo hivyo. Naamini atapatikana mapema