Mtoto ameamka AMEKUFA.

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,550
6,063
Haya ni maneno ya dada mmoja sasa hivi LIVE kwenye TV.

Ila siyo Tanzania maana nilikuwa naangalia kwa kutumia KARAI.

Hiki KIZAZI kipya kwa kweli KINACHEMSHA SANA.

Mtoto ataamkaje AMEKUFA?????
 
Kafa usingizini, (au alitaka kusema aliamka akacheza theni baadae akafa)
 
Ahhh, Chanel moja ya nchini Czech Republic, ila sijui ni mji gani.

Kaunga, ni kweli inaeleweka ila wanachekesha sana wakati mwingine. Inanikumbusha enzi za utoto unaandika barua kwa kibinti cha watu "kulala silali, nakuota wewe kila siku." Au mambo ya USA, ya kumpa mtu LAST MEAL wakati masaa machache baadaye WATAMUUWA.
 
Very contradictory eeh, BTW how did nswalu came up; you should get nsansa pia.
My favorite ni futari ya maboga, viazi, mihogo na karanga kwa wingi; l love it ikiwa kiporo!
 
Nsansa pia ninazo ila kidogo sana. Wazee wa kuzitengeneza wanaisha kwa sasa huko Tabora, too sad.

Ila kuna jamaa wameanza kuzitengeneza kwa ajili ya biashara, labda zinaendelea kuwepo.

Nswalu naona italiwa JUMAPILI. Maziwa yangu ya mtindi (mbowoto) lazima yawepo pembeni.

Nitakuwa kwa afya zenu wote pia. Vagisye kukaya.
Very contradictory eeh, BTW how did nswalu came up; you should get nsansa pia.
My favorite ni futari ya maboga, viazi, mihogo na karanga kwa wingi; l love it ikiwa kiporo!
 
Ahhh, Chanel moja ya nchini Czech Republic, ila sijui ni mji gani.

Kaunga, ni kweli inaeleweka ila wanachekesha sana wakati mwingine. Inanikumbusha enzi za utoto unaandika barua kwa kibinti cha watu "kulala silali, nakuota wewe kila siku." Au mambo ya USA, ya kumpa mtu LAST MEAL wakati masaa machache baadaye WATAMUUWA.

Swali kidogo, hiyo chanel ya nchini Czech Republic wanaongea kwa lugha yao? Kama ndio basi kiongozi nimekuvulia kofia, hadi kicheki unakimanya....

Lugha zinasumbua hizi wajameni..ameamka AMEKUFA tena?
 
Back
Top Bottom