Mtoto aliyemuuliza maswali Lowassa matatani

Jaman mm nauliza kila siku, ni kiongozi gani atwambie haya kwanza ndipo aje atuombe kura zetu.
(1) nani aliyeminya Uhuru wa habari?
(2) nani aliye chakachuwa maoni rasimu ya warioba?
(3) e
Pia aseme escrow imeiishia mtaa gani au mahakama gani?
 
Kwa ufupi baadhi ya viongozi wa Tz are very ignorant, sijui kama hata walienda shule kwa kweli, au huko shuleni walikazwa na walimu wao, ili tu wamalize hizo degree. Yaani mtoto anakuuliza swali wewe unamsakama kwa nini? Mjibu, wewe si mwanaume wewe! kwa nini jamani hawa viongozi wanafikiria watz wote ni wapambe wao, wajinga wasiojua kinachoendelea?
Hawa viongozi kama Lowassa ndio wanaoharibu nchi hawa, huyu sijui ana undugu na Kibaki, maanake wanaonekana kuwa na tabia moja za kibabe, walilelewa na mama mmoja nini?
 
Back
Top Bottom