huwa siamini sana katika sadaka nizitoazo madhabahuni iwe msikitini au makanisani!!kam kweli naweza barikiwa kama kuwasaidia wenye shida mbalimbali na maskini naamini sana katika hili!!!
tena sadaka hii hufika direct kwa mungu maana yule apokeae hupokea kwa imani na kukuombea ubarikiwe .keep on kila kazi njema ina mavuno yake usiwajali binadamu ndugu yangu
ngoja nikupe kisa:
kuna kaka mmja alimpa ujauzito housegal ikajulikana kabisa ni yeye yule bwana akakataa kabisa ,dada yule akapoteza kibarua chake akarudi huko moshi vijijini hata pakuishi tabu! akajifungua mtoto utasema alikuwa na photokopy machine,kwa aibu wakamchukua yule mtoto nakumtelekeza yule dada bila msaada wowote!yule bwana akaoa huko botswana akawa anatamani sana mtoto wa kiume hakuwahi mpata akafikisha majike 5,watu wakmwambia face your ghost beforre u move forward kamwombe yule dada msamaha nakumjengea hata kibanda ,yule bwana akafuata ule ushauri after 1yrs alipata mtoto wa kiume .na yule mtoto wa housegal anamaliza engineering 4th yr.
nakushauri kaka yangu usimwache huyo mtoto msomeshe msaidie kila step mfahamishe mama yako ndio atakayetuelewa .siku moja utashuhudia machozi ya huyo kaka yako .mimi tunapoongea ndani kwangu kuna msichana wa kazi amejifungua tr7 na alipewa mimba na ndugu wa mume wangu mtoto yule amefanana kopy right na yule jamaa na mwanzo alikuwa anakana akaja kukubali kwa maandishi.

huwa siamini sana katika sadaka nizitoazo madhabahuni iwe msikitini au makanisani!!kam kweli naweza barikiwa kama kuwasaidia wenye shida mbalimbali ,wagonjwa na maskini naamini sana katika hili!!!
tena sadaka hii hufika direct kwa mungu maana yule apokeae hupokea kwa imani na kukuombea ubarikiwe .keep on kila kazi njema ina mavuno yake usiwajali binadamu ndugu yangu
ngoja nikupe kisa:
kuna kaka mmja alimpa ujauzito housegal ikajulikana kabisa ni yeye yule bwana akakataa kabisa ,dada yule akapoteza kibarua chake akarudi huko moshi vijijini hata pakuishi tabu! akajifungua mtoto utasema alikuwa na photokopy machine,kwa aibu wakamchukua yule mtoto nakumtelekeza yule dada bila msaada wowote!yule bwana akaoa huko botswana akawa anatamani sana mtoto wa kiume hakuwahi mpata akafikisha majike 5,watu wakmwambia face your ghost beforre u move forward kamwombe yule dada msamaha nakumjengea hata kibanda ,yule bwana akafuata ule ushauri after 1yrs alipata mtoto wa kiume .na yule mtoto wa housegal anamaliza engineering 4th yr.
nakushauri kaka yangu usimwache huyo mtoto msomeshe msaidie kila step mfahamishe mama yako ndio atakayetuelewa .siku moja utashuhudia machozi ya huyo kaka yako .mimi tunapoongea ndani kwangu kuna msichana wa kazi amejifungua tr7 na alipewa mimba na ndugu wa mume wangu mtoto yule amefanana kopy right na yule jamaa na mwanzo alikuwa anakana akaja kukubali kwa maandishi.
Habari zanu wana JF,
Naombeni ushauri wenu katika hili lililonikuta, ni story ndefu ila in short miaka ya nyuma kipindi tukiwa tunasoma, our mom alikuwa anaishi na kabinti fulani, by that time she was 10 yrs na kiliacha shule kutokana na matatizo ya wazazi wake so kikawa home kinamsaidia mom kazi ndogondogo tu na kumpa mom kampani. Tulimchukulia kama mdogo wetu na tulimpenda sana. After two years my sis aliyekuwa anaishi DSM alijifungua so akamchukua kuishi nae ili amsaidie kazi. Kaka yetu mmoja by that time alikuwa anasoma alikuwa akiishi hapo kwa sister.
After two years binti akagundulika kuwa mjamzito na alipoulizwa nani mhusika alisema ni huyo kaka yangu ila yeye alikana kabisaaaaa!!!Binti wa watu akarudishwa kijijini na alijifungua mtoto wa kike akiwa na miaka 15. Mwaka juzi nilienda kijijini na nikabahatika kumuona huyo mtoto, honestly she resembles my brother kabisaaaaa!!! Nilimpigia na kumweleza kuhusu hilo but alisema kuwa yeye hahusiki na kama anafanana na yeye it is not his business. Huyo mtoto alikuwa anaishi maisha magumu sana imagine at the age of 12 hajaanza darasa la kwanza. ilimuomba mama yake nimchukue niishi nae na pia nimsaidie kwa vile yule kweli ni mtoto wa kaka yangu!
Kwa vile bro alishakataa hata nilipomwambia kuwa mtoto kafanana nae, sikumshirikisha uamuzi wangu niliouchukua wa kumlea huyo mtoto ila mom nilimshirikisha na hakuwa na tatizo na yeye toka zamani alishataka kumchukua ila bro alimkataza so ikabidi aheshimu uamuzi wake. Hadi sasa naishi nae na the girl is very inteligent, amini usiamini nilipompeleka shule walimpa mtihani na kugundua kuwa hakustahili kuanza drs la kwanza, wakampeleka la 3 now yupo la 5.
Last week mke wa huyo brother alikuja kwangu kunitembelea na kumuona yule mtoto, akaniuliza mtoto wa nani?Nikamjibu ni mtoto wa shemeji yangu ili kuua soo wasie gombana na mumewe. Sasa jana narudi toka job namkuta brother kwangu kafura vibaya sana na anadai mimi ninadharau kwa nini nimemchukua mtoto ambae sie wake na amedai kuwa mimi na yeye undugu wetu umeisha na akaondoka bila hata kuniaga.
Naombeni ushauri wenu katika hili mana that brother of mine ni mbabe balaa, yani ndugu wanamwogopa balaa isipokuwa mimi tu!!
Nawakilisha.
hatuishi nao ni wale wakupita likizo ya shule nk.binafsi sipendi kabis aila umaskini wa familia zetu ndio unapelekea hayo,hata wewe katika maisha hautaliepuka .huyo kijana alikuwa yuko likizo ya chuo ile ya june akapita home kuchukua ad na matumizi mengine maana ndio tunamsomesha akaacha na mimba hahahaahahahahaah dalaliiiii labda ukaishi mars kwakeliHvi kwa nini huwa mnapenda kuishi na ndugu wa mume/mke pamoja? Ni tabia gani hyo?
Hvi kwa nini huwa mnapenda kuishi na ndugu wa mume/mke pamoja? Ni tabia gani hyo?
trust me kumpata mtoto wa kiume itakuwa tabu sana mungu anamtengenezea mazingira ya aibu na fedheha ile ile aliyoipata yule hg.mwombe mungu uwe hai utashuhudia hao watoto watakavyotingwa mimba kabla ya ndoa nakutelekezwa japo hatuombei baya litokee.sioni sababu yakumkataa mtoto ambaye humfuti mavi wala humwogeshi wala kumfulia aiseeNivea asante kwa ushauri ila namuonea huruma sana kaka yangu, kwanza yule mtoto huwa hataki kusikia habari za baba yake, ananijua mimi kama mama yake na mume wangu kama baba yake. She is happy and comfortable! Nina uhakika ipo siku atakuja kujutia uamuzi wake. Now ana watoto 4, wote wasichana, huyo first born wake yupo darasa la 7 ila bonge la kilaza kabadilisha shule hadi kachoka mwenyewe!! I belive Mungu ataniongoza katika kumlea huyu mtoto.