Mtoto akiungama kwa padri. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto akiungama kwa padri.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Jaguar, Jan 24, 2012.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  (Padri);Haya anza kuungama. (Mtoto):Dhambi ya kwanza;NILIUA!>> (Padri):Eenh!subiri kwanza,ulimuua nani?,kuwa huru mtoto,hautashtakiwa kwani hapa upo mbele ya MUNGU na atakusamehe buree. (Mtoto);Okay,kila siku alikuwa anatoka kwao anakuja kwetu kula mahindi,nikaamua kumuua yule mbuzi halafu nikamtupia chooni kisirisiri.
   
 2. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  sishangai kwa sababu huyo ni mtoto
   
 3. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Haichekeshi!!!!!!
   
 4. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,852
  Likes Received: 1,293
  Trophy Points: 280
  Bampami ngoja nilale
   
 5. ha ha ha

  ha ha ha JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 641
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  bro hiyo sura!!!!!!!!!kama jiwe
   
Loading...