mpemba mbishi
JF-Expert Member
- Nov 27, 2011
- 1,132
- 188
Kanisani kulikua na ibada ya maombi PADRi akasema kama kuna muumin yeyote ana maombi ainuke.
Mara mtoto akaenuka na kuanza kuwaombea wazazi wake,
Akaanza mtoto: "Nawaombea wale wote wasiokua na mavazi kama wale wasichana wanaokaa uchi kwenye SIMU ya BABA wapate hela wanunue nguo,
na pia nawaombea wale wasio kua na nyumba kama wale wanaume wanaokuja kulala na MAMA wakati baba akiwa hayupo wapate uwezo wajenge nyumba zao waache kuja kumsubua MAMA usiku.
Mh! Kazi kwako !