Mtoto Ahukumiwa Kunyongwa hadi Kufa!!

Hivi wewe mtoto wako wa umri wa miaka 15 akurukie
akucharaze mashoka hadi ufe
unaweza kutetea kitu kama hicho kweli,
Acha iwe fundisho tu kwa wengine mkuu,
si unaona hali inavyokuwa ngumu vijana hawajali wazazi kabisa siku hizi.

Swahiba ....acha munkari!!! alitenda kosa hilo akiwa na miaka mingapi??
 
Aliua akiwa ma miaka 15, basi waendesha mashtaka wakasubiri apitishe miaka 18 ndio kesi ifanyike, jaji akamhukumu kama mkosaji mtu mzima kwa kuwa sasa ana miaka 23. Amekaa miaka 8 ndani akisubiri kesi yake iendeshwe - na huenda angekutwa hana hatia (katiba mpya iangalie watu kuwekwa ndani muda mrefu wakisubiri kesi, hata kama kosa ni mauaji)

Juzi hapa tulikuwa tukiongelea majaji Voda Fasta wa Tanzania, au majaji Yebo Yebo. Ndio hawa sasa. Wanateuliwa kisiasa na kiushikaji huku hawana uzoefu kabisa.
 
Waberoya Kuna kesi zipo mahakamani...na watetezi wa kesi wanataka Favor kisa mtuhumiwa eti ni mtoto...siwezi kujibu swali lako kwamba utoto unaishia miaka mingapi!! labda unisaidie....

aliua akijua kuwa anaua mkuu! akamkata mara tatu!.....kisha akaficha maiti....ya baba yake mzazi!!...all details shows the guys was matured.

Umri wa utu uzima una vary mkuu, kwa matendo ya hapo juu yanaonyesha ameishakuwa mtu mzima, just leave writings away from this. Ndio maana nchi kama canada mtu mzima anaanzia miaka 16!! tumerithi mikoba ya wabritish na kusema mtu mzima anaanzia miaka 18, wakati wengi wenye miaka 14 na 15 wanaruhusiwa kuolewa!!

ukiangalia matendo ya 15th-17th kuna style za ngono wanazijua kuliko wewe mwanasheria mtetezi wa haki zao!! they will laugh at you.........

Just leave theories out of this, the boy is a killer, a killer! period

mtu akiweza kuua baba yake nani atapona??
 
kwa maandishi ya Blue hapo juu, hata kama mimi ndio ningekuwa Hakimu kweli ningetoa adhabu....ila hii ya kunyongwa hadi kufa....NO!!!!
 
Nasubiri jaji wa kesi ya Lulu atumie kesi hii kama reference kwenye kutoa hukumu......:smash::smash:

Mkuu Vin Diesel ikithibitishika kuwa Lulu ana chini ya miaka 18 sheria itakayo tumika ni 'Law of the Child Act 2009' ambayo inatoa tafsiri ya mtoto kuwa ni mtu aliye chini ya miaka 18 na anapaswa kushitakiwa kwenye mahakama ya watoto. Hiyo ya kijana aliyefanya kosa mwaka 2004 sheria iliyokuwa ikifanya kazi kwa wakati ule ni 'the Children and Young Persons Act' hii sheria ilikuwa inakataza kijana aliye chini ya miaka 18 kunyongwa. Hapo ana haki ya kukatia rufaa adhabu aliyopewa na mahakama.
 
Dah kuna mengi ya kujifunza ila nadhani tatizo ni kutokuwa na ufuatiliaji wa makini. Mtu amekamatwa mwaka 2004 akiwa na miaka 15 amewekwa mahabusu (ambayo sina uhakika kama ilikuwa ni mahabusu ya watoto au la) na ikifika muda ambapo kesi yake inasikilizwa nobody cares kuangalia kesi ililetwa lini na mshtakiwa alikuwa na umri gani. Hakuna asofahamu mtindio wa mahakama zetu ambako mtu anawezakaa mahabusu hata miaka saba.

Hivi pampja na utata wa umri wa Lulu, je yuko mahabusu gani? ya watu wazima au watoto au katikati?
 
Back
Top Bottom