Waungwana, Leo ni Tar 15 wengine tulishalizaga salary zamani.
Leo nina hamu sana ya windhock from Namibia. Nyie wanaume wote nitakosa wakunitoa leo kweli?
cc Filipo Kaizer figganigga @bagger
mambo vipi vivi?. nmefurahi kukuona. Leo wapi mkuu?. nakupenda sana. mia
ha ha ha ha mkiva kwa kichaga ni mtu mwenye shida.
jamani anaitwa nani huyo Mbunge? na anapatikana jimbo gani?
nikisema mimi itakua kama nakulazimisha. najua wapenda kuogelea. lakini nmeamua nikupe uhuru wa kuchagua. miaNdio useme wewe sasa figganigga leo utanipeleka wapi?
Waungwana, Leo ni Tar 15 wengine tulishalizaga salary zamani.
Leo nina hamu sana ya windhock from Namibia. Nyie wanaume wote nitakosa wakunitoa leo kweli?
cc Filipo Kaizer figganigga @bagger
Wakutoe wote kasoro my Arushaone
Hahahahahaha makavu live lol