Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,301
- 40,930
😁😁Tunaelekea uchumi wa kati.
$😁😁😁 Mkuu huyu jamaa ni mtoko kabisaHii tabia wanayo vijana wa Dar. Wanakurupukaga na viboxer vyao kwenda kutafuta msosi mchana
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupi huyo mkuuAsalaaleh!!Mbona kama yule mchambuzi maarufu wa kabumbu hapa Tz
$😁😁😁 Kwamba anakobolewa
Haaaaaahaaaaa una macho sana asee mm pia nimeona hvyohvyo!Asalaaleh!!Mbona kama yule mchambuzi maarufu wa kabumbu hapa Tz
Wa radio mawingu?
Mm naona yuko kama yule waziri wa vyeti vya ndoa katika nchi ya PuatericoAsalaaleh!!Mbona kama yule mchambuzi maarufu wa kabumbu hapa Tz
$[emoji16][emoji16][emoji16] Kwamba anakobolewa
Chafuu Deudena ndiyo anamzungumziaYupi huyo mkuu
Chafuu Deudena ndiyo anamzungumzia