Mtoe out mkeo usiku wa leo

Mtoe out mkeo usiku wa leo

Mwanamke yupi unaemzungumzia wewe? Hawa wake zetu wa siku hizi hawa?.

Pia umeongelea amehatarisha maisha yake kwa ajili ya watoto wangu?. Hapo wanaume wengi ndio mnapofail kujiona watoto ni wako. Watoto ni wenu. Sema watoto wetu. Watoto hasa ni wa mama mwenyewe. Hata watoto wenyewe kadri wanavyokua mapenzi yote yako kwa mama yao. Wewe ni burudozar tu,unawatengenezea barabara tu ya kupita wao kiulain. Ukitaka kujua hicho subiri ukizeeka,ndio utaona utakavyoonekana mali sio zako. Sisi tofauti na wahindi.

Pia umeongelea kunipa chakula kitamu. Chakula bila kukitafuta mimi hakipo kitamu. Nyongeza 70% wanakiandaa maHG.

Pia umeongelea kuniweka nadhifu. Hiyo inategemeana na wewe mwenyewe mwanaume unadhifu wako na nguo unazojinunulia.

Pia kunipa raha,na yeye pia anapata raha. Kwanza wengi kwa hawa wanaipata kwa magumash. Ndio maana inabidi upate pa kushushia.

Mwisho wanawake wa siku hizi kukupenda na kujiegesha kwako inategemeana na wewe una uchumi kiasi gani?.

Kama wewe umebahatika kuoa kama wa zamani,hupitii changamoto zozote,una bahati,na hiyo ni 2% tu imebaki. Au itakuwa bado ni wapya wapya kwenye kuoana,subiri vipimo dogo.
Mwisho hapelekwi mtu out leo. Mpeleke wako huyo mpya
 
Tena sio tuu kiuno...,

Tako kabisaaaa, tena unaliminya ileee....

Yaani....nyaam nyaam....😅😅
Nilitaka kuandika hayo ila nikasita kwa kuogopa mods 😂😂

Asante kwa kunisaidia
 
Back
Top Bottom