Mtoe out mkeo usiku wa leo

Mtoe out mkeo usiku wa leo

Hii inawahusu wanaume waliooa ila hawapendi kuwatoa out wake zao.

Mtoe out mkeo, ni mwanamke mzuri ambaye alihatarisha maisha yake ili kukupatia watoto.

Anakuhudumia chakula kitamu kila siku.

Anakuweka safi na nadhifu. Anakupa mwili wake kwa raha zako.

Anasimama nawe wakati wengine wote wanapokuacha.

Anatumia mapato yake na wewe na watoto wako.

Anastahili umakini wako.

Unaweza kumudu kumpeleka out kwa chakula kizuri usiku wa leo. Cheza naye music. Shika mikono yake yenye joto na mkumbatie kiuno chake hadharani!

Mapenzi sio jambo la siri. Upendo lazima udhihirishwe. Upendo huenda zaidi ya hisia kwa vitendo. Upendo ni kitenzi amilifu. Mapenzi sio matamanio. Upendo hubeba vitu vinne ambavyo ni..
Mawazo
Hisia
Neno
Tendo.

Wanaume wenye busara huwatendea wake zao kama malkia. Bali walio wajinga wanaendelea kulalamika kuhusu mwanamke waliyemchagua. Wanaume wenye busara wanajua ukitoa mapenzi yanarudi kwako.

Anayempenda mke wake anajipenda mwenyewe (Efe 5:28).

Barikiwa
Tupo out hapa. Mbu tu wanasumbua anataka turudi ndani.
 
Sijalalamika mkuu, nimempa credit kuwa hiyo tabia yake sijawahi kuiona kwa mwanamke yeyote,
ni anajua kupangilia hela hukuti ana matumizi yasiyo ya lazima
Usilalamike kwa mwanamke uliyemchagua mwenyewe, tumia busara kama mwanaume mwenye akili timamu kumuweka sawa mama Sasha.
 
Ikiwa kuna mwanaume ana ujasiri wa kushika hadharani kiuno cha kahaba halafu hawezi kushika hadharani kiuno cha mkewe utamuweka kundi gani mwanaume wa hivyo?
Huyo amefanya jambo baya. Sasa na ww usimfanyie jambo baya mkeo, mkeo usimshike hadharani utamfananisha na makahaba wanaoshikwa barabarani.
Au na mkeo ni sawa na makahaba wanaoshikwa shikwa njian?
Ayo mambo kafanyeni chumban
 
Hii inawahusu wanaume waliooa ila hawapendi kuwatoa out wake zao.

Mtoe out mkeo, ni mwanamke mzuri ambaye alihatarisha maisha yake ili kukupatia watoto.

Anakuhudumia chakula kitamu kila siku.

Anakuweka safi na nadhifu. Anakupa mwili wake kwa raha zako.

Anasimama nawe wakati wengine wote wanapokuacha.

Anatumia mapato yake na wewe na watoto wako.

Anastahili umakini wako.

Unaweza kumudu kumpeleka out kwa chakula kizuri usiku wa leo. Cheza naye music. Shika mikono yake yenye joto na mkumbatie kiuno chake hadharani!

Mapenzi sio jambo la siri. Upendo lazima udhihirishwe. Upendo huenda zaidi ya hisia kwa vitendo. Upendo ni kitenzi amilifu. Mapenzi sio matamanio. Upendo hubeba vitu vinne ambavyo ni..
Mawazo
Hisia
Neno
Tendo.

Wanaume wenye busara huwatendea wake zao kama malkia. Bali walio wajinga wanaendelea kulalamika kuhusu mwanamke waliyemchagua. Wanaume wenye busara wanajua ukitoa mapenzi yanarudi kwako.

Anayempenda mke wake anajipenda mwenyewe (Efe 5:28).

Barikiwa
Mi si Mpemba wala Mzaramu, namtoa mke wangu kipenzi kila akipata muda, sana sana siku za Ijumaa baada ya kazi.
 
Huyo amefanya jambo baya. Sasa na ww usimfanyie jambo baya mkeo, mkeo usimshike hadharani utamfananisha na makahaba wanaoshikwa barabarani.
Au na mkeo ni sawa na makahaba wanaoshikwa shikwa njian?
Ayo mambo kafanyeni chumban
Chumbani ama hadharani ashikwe tu kiuno, makahaba walijitwalia hiyo mbinu ili kuvunja ndoa za watu halafu wewe unakuja na ulokole wako wa michongo eti mke hashikwi kiuno hadharani, wewe unasali kigango gani weye?
 
Mm sisali kanisani, kama hayo nd mafundisho yenu kanisani sawa. Na si ajabu kwasbb ikiwa mnanyonyana mate kanisani hamuwezi shindwa kushikana viuno hadharani.
 
1684564432525.png
 
Back
Top Bottom