List ya waongo humu JF na wazushi inaongozwa na Yeriko Nyerere, ndiye kiongozi mkuu wa kikosi cha UONGO, UZUSHI NA UPISHI WA MAJUNGU.
Msema kweli kidogo ninayemuamini mimi humu ndani ni Pasco mwanadada mahiri FaizaFoxy na pia Mzizi Mkavu kwa kuwa ni mchawi lakini pia taarifa zake nyingi zina evidence, kwa mfano hadi picha za majini wote na wanakoishi yeye anajua, hahahah walikuwepo hapo zamani kina Nyani Ngabu japo sasa hawajulikani wako wapi...
Faiza Foxy umempa sifa za kubumba au kwa kuwa ni mwenzio kiitikadi? Huyu faiza ni muongo na mzushi kweli kweli. Angefaa sana kuwa mganga wa kienyeji.