Mtoa Habari za kuaminika JF

Mtoa Habari za kuaminika JF

Dexaquin

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2015
Posts
230
Reaction score
80
Salama wandugu....

Unamkubali nani humu JF ambae akitoa taarifa/ tetesi unaiamin na inakuwa ya kweli?

Maana wengine taarifa zao huwa zimejaa figisu figisu....
 
Mmeanza kuleta ubaguzi hapa ( bias).
 
List ya waongo humu JF na wazushi inaongozwa na Yeriko Nyerere, ndiye kiongozi mkuu wa kikosi cha UONGO, UZUSHI NA UPISHI WA MAJUNGU.

Msema kweli kidogo ninayemuamini mimi humu ndani ni Pasco mwanadada mahiri FaizaFoxy na pia Mzizi Mkavu kwa kuwa ni mchawi lakini pia taarifa zake nyingi zina evidence, kwa mfano hadi picha za majini wote na wanakoishi yeye anajua, hahahah walikuwepo hapo zamani kina Nyani Ngabu japo sasa hawajulikani wako wapi...
 
Kiranga mana yeye haamini kitu bila ushahidi
 
Back
Top Bottom