Ukiacha maajabu ya ziwa Ngozi pale Mporoto Mbeya, vilevile kuna maajabu ya mto unaoishia kwenye shimo. Mto huu uko kijiji cha Shemwengo ukishatoka Tazama Pipeline kwenye mteremko unapotoka Mbeya kwenda Iringa. Kuna mto unapita darajani halafu unapotelea kwenye kitu kama shimo. Ni taarfa tu kwa wana JF!
Hilo shimo kikwetu linaitwa .nduwa. maji yanaweza kuishia mle mle au yakaenda kuibukia mbali sana. pia wanaamini kwenye hilo shimo kuna chunusi au pepo na mara nyingi watu wanapopita jirani wanapotea.
Kwanza Mamdenyi naomba niambie maana ya nduwa...na hiyo ni kabila gani?
Stuxnet na wengine niambieni huo mto ngozi huko uporoto una maajabu gani?
Nimesikia habari hizi kitambo sana, natarajia kwenda hapo Shamwengo Juni mwaka huu. Nitakuja na picha za eneo hilo na ku-update thread hii. Stay tunedUkiacha maajabu ya ziwa Ngozi pale Mporoto Mbeya, vilevile kuna maajabu ya mto unaoishia kwenye shimo. Mto huu uko kijiji cha Shemwengo ukishatoka Tazama Pipeline kwenye mteremko unapotoka Mbeya kwenda Iringa. Kuna mto unapita darajani halafu unapotelea kwenye kitu kama shimo. Ni taarfa tu kwa wana JF!
KUna mtu aliwai nambia juu ya huo mto sikuamini nikaenda kushuhudia kwa macho yangu.
KUna watu wanasema inawezekana hayo maji yanaibukia mikoa kati nilisikia wakisema singida au dodoma au Tabora.
Tungekuwa na vihera vya kuufanyia utafiti ingebidi tuutrace ila sasa Vitanda vya mahospitali vyatushinda itajakuwa utafiti wa mto
Mkuu hela ya nini hapo, ni nchi kutokuwa na interest ya kufanya tafiti
a) Hapo ni kumwaga rangi ambayo ni rafiki wa Mazingira na sio sumu kwa binadamu na viumbe vyote vinavyoishi na kutegemea hayo maji na baada ya hapo ni kuyatrace ili kujua yatatokea wapi?
b) unaweza kukata vipande vidogovidogo vya Maboya na kuvimwaga hapo kwenye mto unapozama, kisha unavisubiri kwenye maendeo yanayokisiwa kuwa huo mto ndipo unapotoka
simple kabisa
Mkuu unao uhakika na hizo "hypothesis" zako?
na wala sio Hypothesis Mkuu
Hiyo ni Law/Principle,
Mkuu Hiyo dawa inatotiwa kusafisha maji (Shabu), haiwekwi kwenye nyumba ya kila mtu, bali inawekwa kwenye shina la maji, Kama yakiwekwa dawa Ruvu basi mpaka Oysterbay hiyo dawa inafika na saa nyingine unaona Povu jingi na harufu kabisa,
Hivi hujawahi kufungua bomba na wakatoka samaki na maji? same kama ukiweka vipande vya maboya
Kama wanasuspect huo mto unatokea tena sehemu nyingine hiyo ndio njia ya kuprove
Kituko,
Yaani unafungua bomba wanatoka samaki na maji ...........!!!!!!???????
Mkuu Ngozi ni ziwa,na habari zake zipo katika thread iyofuatana na hii.kama sikosei ni ziwa linaloingiza tu maji na halitoi maji, na halina fukwe,na inasemekana halitaki kusikia mtu anazungumza kinyakyusa akiwa hapo ziwani!
Kituko,
Yaani unafungua bomba wanatoka samaki na maji ...........!!!!!!???????
na wala sio Hypothesis Mkuu
Hiyo ni Law/Principle,
Mkuu Hiyo dawa inatotiwa kusafisha maji (Shabu), haiwekwi kwenye nyumba ya kila mtu, bali inawekwa kwenye shina la maji, Kama yakiwekwa dawa Ruvu basi mpaka Oysterbay hiyo dawa inafika na saa nyingine unaona Povu jingi na harufu kabisa,
Hivi hujawahi kufungua bomba na wakatoka samaki na maji? same kama ukiweka vipande vya maboya
Kama wanasuspect huo mto unatokea tena sehemu nyingine hiyo ndio njia ya kuprove
Huo mto niliuskia kwa mtaalamu wa mazingira kuwa inasemekana walishautrace kwa kutumia maboya na boya kuonekana ziwa victoria miez kadhaa mbeleni..na picha ya ilo shimo alikuwepo ntafanya liwezekanalo kuipata na kuiweka hapa