Nyati
JF-Expert Member
- Mar 6, 2009
- 2,528
- 1,919
Maana yake ni nyingi / wengikwao hilo jina lina maana gani?
Ndo maana
K*** moto ==> Moto ni Dubu walikuwa wengi maeneo hayo lkn kwa sasa wameishaliwa wote kwisha habari.
Maana yake ni nyingi / wengikwao hilo jina lina maana gani?
ha ha ha unaniuwa mbavu mkuu.itakuwa balaa hiyo mechi
Vitu unavyoona ni visa kwako kwawenzio its usual, na kitu ambacho kwao ni visa kwako chaweza kuwa cha kawaida sana!