Mungu atajiinua katikati ya Mashetani haya na atampigania Uli hakika kwa tukio hili haki za madaktari hazito nyamazishwa kwa kifo cha Uli daima na majeraha ya uli yawe chachu kuishinikiza serikali hakuna kusitisha mgomo mpaka watakapo toa majibu ni kwa nini walimteka Uli ....................Aibu kubwa hii kwa Serikali ya TanzaniaMIMI NASHANGAA SANA WATU WANAPOTEZA MUDA WAO KUTAKA KUMUUA MTU AMBAYE NYUMA YAKE WAKO WATU KAMA MILIONI KADHAA KAMA YEYE.JE WANATAKA KUWATISHA WATANZANIA TUSIDAI HAKI ZETU?FINE.NINACHOTAKA KUWAAMBIA HAO WAHUSIKA WAKIWEZA KUNYAMAZISHA WATU 'HATA MAWE YATAONGEA.ee MWENYEZI MUNGU MPE NGUVU ULIMBOKA SHETANI APATE AIBU
Wana JF
Tuwe tunajaribu kufikiri zaid ya maono yetu kwan macho siku zote upoteza uwezo wa kufikiri zaidi,kwa mtazamo wangu napata picha ya watu wenye kuuguliwa sana na ndugu zao wameamua kumpa somo Dr. Ulimboka kuwa kuongoza kwake mgomo kunawapa watu maumivu na vifo, hivyo basi nae aonje joto la jiwe ile asiongoze mgomo tena dhidi ya uhai wa binadamu kwa maslai yake..
NAWASILISHA WANA JF,NI MTAZAMO TU.
Taratibu mkuu...!Mtazamo wako umetoka kwenye tundu lako la nyuma! Pambaff gamba weee!
Ni mawazo yako!
wakajikusanya na kumteka na kumpa kichapo
Wanaumoja kweli hawa ndugu wa wagonjwa .
Sasa ndugu zao watapona.
Sio kosa lako! Ni akili yako dhaifu.Safi hii nimeipenda na tuwatafute madokta wote tuwape kichapo cha mbwa koko wasirudie tena kugoma nyambafff zao wananiuzi sana na migomo yao kama ya wanafunzi tuwachape tuwachape tuwachapeeeeeee
Mtazamo wako umetoka kwenye tundu lako la nyuma! Pambaff gamba weee!
mimi ni mhanga wa huduma mbovu hospitali kama serikali inataka kumuua uly ikumbuke kuna nguvu ya umma.Naona ndugu yangu hauelewi kwa nini madaktari wanagoma..sio tu kwa sababu wanataka posho ebu angalia mazingira ya hospitali zetu.unaenda hosp kupima maleria hata spirit ya kukufutia ili watoe damu hawana..glooves hamna,wajawazito wanalala chini,vifaa vya kujifungulia hamna.tatizo ni dr ulimboka au serikali???