S structuralist JF-Expert Member Oct 13, 2012 1,231 906 Mar 26, 2016 Thread starter #21 Nifah said: Hii fashion na inipite tu,naonaga kama ni uhuni flani hivi? Siwezi kabisa kuvaa suruali ya kuchanika. Click to expand... Upo sahihi kabisa. Hata kwa sasa,(mida hii) naangalia ITV "hawavumi lakini wamo" huyo binti anayehojiwa kapiga suruali ilochanwa magotini. Namna hii pia kupata sapoti itakuwa ngumu
Nifah said: Hii fashion na inipite tu,naonaga kama ni uhuni flani hivi? Siwezi kabisa kuvaa suruali ya kuchanika. Click to expand... Upo sahihi kabisa. Hata kwa sasa,(mida hii) naangalia ITV "hawavumi lakini wamo" huyo binti anayehojiwa kapiga suruali ilochanwa magotini. Namna hii pia kupata sapoti itakuwa ngumu
S structuralist JF-Expert Member Oct 13, 2012 1,231 906 Mar 26, 2016 Thread starter #22 Nifah said: Hii fashion na inipite tu,naonaga kama ni uhuni flani hivi? Siwezi kabisa kuvaa suruali ya kuchanika. Click to expand... Huo ndio ukweli. Heshima ya mtu inanza kwa muonekanao. Na kwa uhalisia ni.kwamba suruali zilizochanwa sio kabisa.
Nifah said: Hii fashion na inipite tu,naonaga kama ni uhuni flani hivi? Siwezi kabisa kuvaa suruali ya kuchanika. Click to expand... Huo ndio ukweli. Heshima ya mtu inanza kwa muonekanao. Na kwa uhalisia ni.kwamba suruali zilizochanwa sio kabisa.
Red Giant JF-Expert Member Mar 9, 2012 15,658 20,889 Mar 26, 2016 #23 na suruali za marinda zitarudi tu.
mtima nyongo JF-Expert Member Dec 29, 2015 1,947 2,046 Mar 30, 2016 #24 Samaritan said: Ukizipata sehemu ukaziuza utapiga hela sana, usisahau na chacha. Click to expand... chachacha
Samaritan said: Ukizipata sehemu ukaziuza utapiga hela sana, usisahau na chacha. Click to expand... chachacha
The Monk Platinum Member Oct 12, 2012 19,254 42,873 Mar 31, 2016 #25 mtima nyongo said: chachacha Click to expand... Umri umeenda mkuu, ahsante kwa masahihisho
mtima nyongo JF-Expert Member Dec 29, 2015 1,947 2,046 Mar 31, 2016 #26 Samaritan said: Umri umeenda mkuu, ahsante kwa masahihisho Click to expand... enzi zetu hizo
el nino JF-Expert Member Nov 5, 2013 4,712 5,033 Apr 6, 2016 #28 Nifah said: Hii fashion na inipite tu,naonaga kama ni uhuni flani hivi? Siwezi kabisa kuvaa suruali ya kuchanika. Click to expand... Ndio maana nataka nikuoe... maana hupendi uhuni.. sasa sema nitoe ng'ombe, pesa au shamba?
Nifah said: Hii fashion na inipite tu,naonaga kama ni uhuni flani hivi? Siwezi kabisa kuvaa suruali ya kuchanika. Click to expand... Ndio maana nataka nikuoe... maana hupendi uhuni.. sasa sema nitoe ng'ombe, pesa au shamba?