Aymanarusha
Member
- Oct 23, 2012
- 5
- 8
Wana kiburi cha mafanikio na kuwa na wateja wengi.....wataenda watapotea tu na matakataka yao fambaMimi nipo Arusha. Nimeagiza mzigo leo kutoka kampuni ya Sundar, Dsm na huu siyo mara ya kwanza niagize mzigo kwao Sundar. Nilipewa bei na nikatuma pesa kwa airtelmoney. Sasa, na ambiwa na staff wao kwamba nitume mtu akachukue huo mzigo ofisini kwao kariakoo! Eti ni mzigo mdogo!
Nikashangaa! Nikamwuliza, kawaida ni mzigo wa mikoani inatumwa kwenye transport na mnunuzi anilipa hiyo gharama akipokea mzigo! Huyu Sundar anani ambia nirudishe muamala kama siwezi kuichukua huo mzigo ofisini kwao.
Na uliza wafanya biashara wenzangu, huo ni mtindo wa haki?
Muwe mnatumia DHL, UPS na FedEx.Mimi nipo Arusha. Nimeagiza mzigo leo kutoka kampuni ya Sundar, Dsm na huu siyo mara ya kwanza niagize mzigo kwao Sundar. Nilipewa bei na nikatuma pesa kwa airtelmoney. Sasa, na ambiwa na staff wao kwamba nitume mtu akachukue huo mzigo ofisini kwao kariakoo! Eti ni mzigo mdogo!
Nikashangaa! Nikamwuliza, kawaida ni mzigo wa mikoani inatumwa kwenye transport na mnunuzi anilipa hiyo gharama akipokea mzigo! Huyu Sundar anani ambia nirudishe muamala kama siwezi kuichukua huo mzigo ofisini kwao.
Na uliza wafanya biashara wenzangu, huo ni mtindo wa haki?
Habari mkuu.. Umepotea sana jukwaani aise.?? π€ π€Vuta pumzi, halafu andika vizuri tuelewe Mkuu
Salama, mbona nipo Mkuu labda wewe ndiyo hunioniHabari mkuu.. Umepotea sana jukwaani aise.?? π€ π€
Okey mkuu, ulini promise utafungua PM, βΊοΈβΊοΈβΊοΈ. Tayari au bado??Salama, mbona nipo Mkuu labda wewe ndiyo hunioni
Bado sijafunguaOkey mkuu, ulini promise utafungua PM, βΊοΈβΊοΈβΊοΈ. Tayari au bado??
Kaandika kwa kupanic sanaπVuta pumzi, halafu andika vizuri tuelewe Mkuu
Ndiyo πππKaandika kwa kupanic sanaπ
ππππ. AiseeeBado sijafungua
Rudisha muamala piga kimya sio lazima kufanya nao biashara maana hawajui kufanya biashara na huyo ni wakalaSundar anani ambia nirudishe muamala kama siwezi kuichukua huo mzigo ofisini kwao.
poleeππππ. Aiseee