Mtindo huu jkt mujibu lazima vijana waive tu

Mtindo huu jkt mujibu lazima vijana waive tu

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2011
Posts
3,818
Reaction score
5,819
Hapa lazima adabu irudi tu
 

Attachments

  • jkt.jpg
    jkt.jpg
    36.9 KB · Views: 1,004
Hawa wakirudi hata FB hawaingii tena,
Tena Kagame ajiandae kurudi mlimani tunahitaji matuta ya viazi...!
 
yap ! tumeiva haswaaaa cha msingi jamii itupe ushirikiano kwa kile tulichofundishwa juu ya jamii yetu ya leo. Na pia kwa wale wazaz walokuwa wakihofu juu ya wanao wafute fikra potofu na wawaruhusu wanao kujiunga na JKT(NIDHAMU)
 
Hapa wakila pindi la elimu rika.
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1371396278821.jpg
    uploadfromtaptalk1371396278821.jpg
    6.9 KB · Views: 648
Halafu Loanboard wasiwape mkopo on time.....au sijui wasipate ajira hahaaaaahahaaaaaaa.......i can see it
 
Ngoma nayo itakuwa kwa kasi ya mwanga
 
duu! ni noma mi ningeishatoroka zaman. wakitoka uko hakuna tena usharobaro wala utozi
 
ayo yanaonekana kama makorofi ayo,yalikia yametoroka hivyo yanakula 45 mnts exra drill
 
Back
Top Bottom