Mtindi na maziwa fresh yapi yanatoa sumu haraka?

Mtindi na maziwa fresh yapi yanatoa sumu haraka?

Sio fresh wala mgando yanatoa sumu. Kama una data tuwekee hapa ili tuamini choice yako.
Kwako mwuliza swali kama umepanga kunywa sumu kutishia nyau halafu unywe maziwa ukitegemea yatakuponya, nakushauri ufikirie tena kuhusu uamuzi huo. Utazimika moja kwa moja!
Umewaza kwa jicho la tatu
 
Mwalimu wetu alituambia..."Milk can be used as an antidote for heavy metal intoxication,never use milk if you are not sure about the type of intoxication".
Ngoja nikuongezee shule...Heavy metals ni kama mercury,lead,Arsenic n.k.Salt ya hizi metali ni sumu ktk mwili na huwa zina'destroy protini za mwili kupelekea matatizo lukuki ya kiafya mpaka kifo wakati mwingine.
Maziwa nayo yana protini,kwahiyo mtu aliyekunywa sumu yenye heavy metal tunaweza kumpa maziwa,hizi metali badala ya kushambulia protini za mwili basi zitashambulia protini za maziwa na kutengeneza "complex compounds" ambazo itabidi tuziondoe badae kwa kumtapisha mgonjwa wetu.Asante kwa kuelewa
Simple and clear thanks mkuu
 
Nimewahi kumhudumia mtu aliyekunywa sumu kwa kumpa maziwa yasiyo ganda hakuweza kutapika mpaka nilipomfikisha hosptali akanyweshwa dawa flani muda huo huo alianza kutapika.
 
Lowassa hatumwoni kwenye Kampeni.... Vipi?


Haya ni maneno tu ya mtaani. Sumu haiondolewi na maziwa. Sumu inaondolewa na antidote ya sumu husika. Sasa kunywa sumu halafu nenda kaogelee kwenye bwawa la maziwa huku umeacha mdomo wazi halafu jisikilizie.
 
Naomba niwaulize wadau eti kati ya mtindi na Maziwa fresh yapi yanatoa sumu mwilini haraka?


Naomba mnijuze hapa.


Ute wa mayai ya kuku (crushed), ndiyo komesha ya sumu, maziwa fresh yanasubiri.
 
Back
Top Bottom