Mwalimu wetu alituambia..."Milk can be used as an antidote for heavy metal intoxication,never use milk if you are not sure about the type of intoxication".
Ngoja nikuongezee shule...Heavy metals ni kama mercury,lead,Arsenic n.k.Salt ya hizi metali ni sumu ktk mwili na huwa zina'destroy protini za mwili kupelekea matatizo lukuki ya kiafya mpaka kifo wakati mwingine.
Maziwa nayo yana protini,kwahiyo mtu aliyekunywa sumu yenye heavy metal tunaweza kumpa maziwa,hizi metali badala ya kushambulia protini za mwili basi zitashambulia protini za maziwa na kutengeneza "complex compounds" ambazo itabidi tuziondoe badae kwa kumtapisha mgonjwa wetu.Asante kwa kuelewa