JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,156
- 3,627
USIITE CUF Inaitwa ccm b.mbona hata hizo money za mikutano wamemegewa kutoka fuko la serikali.wao ni legelege tu, mbona CHADEMA nyomi yake huwa ni uwanja mzima mpaka kwenye miti juu watu wanajaa.sasa ukitegemea kusomba watu kwa malori kutoka DAR wajaza uwanja? kwa ulalamishi huo tu wewe ni mzanzibar hamkosi lawama nyie.TV hii imekuwa ni kawaida yake katika kuonesha na kuripoti habari za chama cha wanainchi CUF imekuwa ni kawaida kutoa picha ambazo lengo lake ni kuwakatisha tamaa wafuasi na wanachama wa CUF Kwa kupiga picha za pembeni kabisa ya mkutano sehemu yenye umati wa watu huwa hawapeleki Camera, imefanyika hivyo mkutano wa CUF wa Arusha na baadaye TV hiyo ikaja kuumbuliwa na Mlimani TV kwa kuonesha umati uliofurika uwanjani na kufuatiwa na magazeti, mf. mzuri gazeti la Fahamu mwanainchi. Leo tena wamerudia yale yale kwa kupeleka Camera sehemu ya viongozi, tunashindwa kutambua vitendo hivyo wanavyokifanyia chama cha CUF ni kwa faida ya nani? au kwa faida ya chama gani? kama mnaona hamtaki kuonesha habari za cuf kwa ufasaha kwa nini mnapata tabu kwenda kwenye mikutano yao tafuteni habari zingine. CUF ipo ndani ya mioyo ya wana CUF hamtaweza kuiua au kuidhofisha mtakufa nyie CUF itabaki.
CUF ndio nini?
...mleta mada, ITV sio TBC. ITV wanaonesha kilichotokea, TBC wanaonesha unachotakiwa kukiamini, so kwa hoja yako TBC itafaa zaidi.
...mleta mada, ITV sio TBC. ITV wanaonesha kilichotokea, TBC wanaonesha unachotakiwa kukiamini, so kwa hoja yako TBC itafaa zaidi.
kwenye matangazo yao wanakuambia na mchumi wa dunia aliyebobea atakuwepo prof lipumba!cuf cuuf cuuufffffff.
kama mlivodanganya arusha kwa kubeba watu mnataka ITV nao wadanganye umma kwa maslahi yenu?
Huwa nikisoma thread za huyu jamaa nadhan anakuwa amejaza mav...i kinywan maana kinachotoka ni harufu ya kutisha.
TV hii imekuwa ni kawaida yake katika kuonesha na kuripoti habari za chama cha wanainchi CUF imekuwa ni kawaida kutoa picha ambazo lengo lake ni kuwakatisha tamaa wafuasi na wanachama wa CUF Kwa kupiga picha za pembeni kabisa ya mkutano sehemu yenye umati wa watu huwa hawapeleki Camera, imefanyika hivyo mkutano wa CUF wa Arusha na baadaye TV hiyo ikaja kuumbuliwa na Mlimani TV kwa kuonesha umati uliofurika uwanjani na kufuatiwa na magazeti, mf. mzuri gazeti la Fahamu mwanainchi. Leo tena wamerudia yale yale kwa kupeleka Camera sehemu ya viongozi, tunashindwa kutambua vitendo hivyo wanavyokifanyia chama cha CUF ni kwa faida ya nani? au kwa faida ya chama gani? kama mnaona hamtaki kuonesha habari za cuf kwa ufasaha kwa nini mnapata tabu kwenda kwenye mikutano yao tafuteni habari zingine. CUF ipo ndani ya mioyo ya wana CUF hamtaweza kuiua au kuidhofisha mtakufa nyie CUF itabaki.
mkuu TV haina uwezo wa kuongeza idadi ya watu waliohudhuria mkutano wenu mbona ITV WALIJITAHIDI SAANA na zile picha za mlimani zilikuwa ni za maktaba za mikutano ya chama chenu mwaka2009 tofautisha picha ya maktaba na live picture halafu FAHAMU SI NI GAZETI LENU KAKA UNATEGEMEA LIFANYEJETV hii imekuwa ni kawaida yake katika kuonesha na kuripoti habari za chama cha wanainchi CUF imekuwa ni kawaida kutoa picha ambazo lengo lake ni kuwakatisha tamaa wafuasi na wanachama wa CUF Kwa kupiga picha za pembeni kabisa ya mkutano sehemu yenye umati wa watu huwa hawapeleki Camera, imefanyika hivyo mkutano wa CUF wa Arusha na baadaye TV hiyo ikaja kuumbuliwa na Mlimani TV kwa kuonesha umati uliofurika uwanjani na kufuatiwa na magazeti, mf. mzuri gazeti la Fahamu mwanainchi. Leo tena wamerudia yale yale kwa kupeleka Camera sehemu ya viongozi, tunashindwa kutambua vitendo hivyo wanavyokifanyia chama cha CUF ni kwa faida ya nani? au kwa faida ya chama gani? kama mnaona hamtaki kuonesha habari za cuf kwa ufasaha kwa nini mnapata tabu kwenda kwenye mikutano yao tafuteni habari zingine. CUF ipo ndani ya mioyo ya wana CUF hamtaweza kuiua au kuidhofisha mtakufa nyie CUF itabaki.