MTIKISIKO CCM: Pinda si shwari!

Pinda hana uwezo wa kuwa rais wa watanzania, yeye analilia milioni 50 zake alizowahonga Uvccm..
 
Na alie tu, kwani hamna namna tena...tumeshachoka sasa
 
Mpaka uchaguzi ufike seremala watakuwa wamepokea mbao za kutosha kwa maana watu wakigawana mbao mwisho wake ni kuzipeleka kwa seremala akaziandae ziwe tayari kwa kufanya kazi husika.
 


!
!
naimagine tu sasa huyu bwana mkubwa anafanya nilichokibold pale juu.
 

Kwani yeye(Pinda) na Makamu wa Raisi(Bilal) nawao hawakupewa sababu ya kushindwa hata kutoboa 5 bora? Yaan wao wameshindwa uhadilifu na mawaziri wao? Then uwepo wao kwenye hizo nafasi unatia shaka
 
Kajidhalilisha sana Mh Jakaya. Kashindwa kutetea utawala wake na chama. inatosha kusema'wamechoka'
 
Ingawa wengi wataendelea kumsema vibaya lakini Mzee Kingunge aliongea mambo ya msingi sana ambayo CCM inatakiwa kuyafanyia kazi

Washachelewa mkuu,samaki mkunje angali mbichi
 
Amesahau kauli zake za kibabe bunge kusema wananchi wapigwe tu.Nayo kamati ya maadili ilichoshwa na uroho wake wa madaraka ikaamuru akatwe tu maana wajumbe walichoka

Sipati picha sura yake akichukia inakuwaje
 


umhhh hapo kwenye RED ......
 
Ebu weka picha akiwa analia nifurahi mie
 
hao ni chagadema na nyuzi zao za kutunga,wala usiwaamini kivile....

Madiwani,wenyekiti wa serikali za mitaa na vitongoji woote wa ccm wamerudisha card na kuchukua za cdm,bado kwa sumaye hivyo hivyo teeeeeh,teeeeeeh
 
Aliye leta hii mada ni muongo. Jina la pinda halikukatwa. Liliondolewa kwenye mchakato baada ya maridhiano.

Hawezi kulalamika kwa sababu hakuondolewa kwa vigezo bali kwa maridhiano kutokana na mazingira halusi.

Yeye aliutaka urais...
 
Power tamu asikwambie mtu......

Wakati angejituliza zake aendelee kuhudumiwa kama waziri mkuu mstaafu

Kupenda power ni ugonjwa mbaya sana
Pinda namtazama sura namuona Mugabe kabisa
bora amekosa huo urais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…