Mtihani wa Maisha

Mtihani wa Maisha

kalukamise

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2011
Posts
683
Reaction score
191
MTIHANI WA MAARIFA YA DUNIA:
Instructions:- Muda: 10 Seconds.
- Majibu mpe mwenzako.
JIBU MASWALI YOTE

1. Kama hela haioti kwenye miti,kwanini bank zina matawi?
2. Kwanini gundi haigandi kwenye chupa yake?
3. Kama tunatakiwa tusi-drive wakati tumekunywa,kwanini bar kuna parking?
4. Kama neno ‘abbreviation’ linamaanisha ufupisho,kwanini lenyewe ni refu hivyo?
5. Kama tunatakiwa kufanya sex ndani ya ndoa 2,kwanini tunabalehe kabla ya kufunga ndoa?


Best wishes.
 
Back
Top Bottom