Mtihani wa maarifa ya dunia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtihani wa maarifa ya dunia

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Judgement, Aug 11, 2012.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Hapa kuna Quize 1 to 5 , atlist ujibu mawili leo na the rest kesho.
  Ukiyamaliza yote pia poa.
  1. Ikiwa kokote duniani hakuna nchi yenye sheria ya kuruhusu dereva aendeshe chombo akiwa kalewa,
  Je? Kama hivyo ndivyo iweje Bar pawekwe parking?

  2. Kama neno ABBREVIATION linamaanisha ufupisho wa maneno iweje lenyewe liwe hilooo! Refu kiivo?
  3. Kusex kabla ya ndoa inakuwa zinaa, iweje tunabalehe kabla ya ndoa ?

  4. Kwa nini gundi haigandi wakati ikiwa kwenye chupa yake ?

  5. Kama pesa/hela hazioti kwenye miti, iweje Bank zina matawi ?
   
 2. W

  Wajad JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,123
  Likes Received: 293
  Trophy Points: 180
  1. Mlevi asubiriwe na dereva wake asiyemlevi au taxi.
  5. Neno tawi lina maana pana
   
 3. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  du!maswali magumu naenda kuandaa migi af ntarudi
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  kusex kabla ya ndoa......ni kushake well b4 use.....
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  gundi haigandi kwa sababu haijagandishwa....simple....
   
 6. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Preta umejaribu. Afu nimekumiso!
   
 7. M

  Mnyaluhala. Senior Member

  #7
  Aug 11, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 117
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Bar zina paking kwaajili ya wanywaji wa soba na juice ambao hawalewi!
   
 8. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #8
  Aug 11, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Yes! kama sisi tunywao soda na mikate Bar :wacko:
   
Loading...