Mtihani wa Kidato cha 2 urudishwe,watoto wamekuwa vilaza sana

Nasikia mwaka huu madogo watapiga paper yao,labda wataboresha kiwango.
 
Kwenye kikao cha maandalizi huko Moro nasikia kuna utata kuhusu posho za kusimamia,hamna.
 
elimu yetu imeingiliwa na mashetani, lakini jambo la msingi sisi kama wadau wa elimu inatakiwa tuhakikishe ile sera ya elimu iliyolipa baraza la mitihani hapa Tz kusismamia mitihani ya mnne ambayo ni drs la 7, 4m 4, 4m 6 pamoja na vyuo vya ualimu inabadilishwa kwanza kwani NECTA haijapewa nguvu kisheria kusimamia mtihani wa 4m 2 na drs la 4 ndio maana wanasiasa wetu wanaaojua kutetea majimbo yao walishinikiza uondolewe.

Hivyo wote kwa pamoja tushirikiane kuiandika serikali vibaya kuhusu elimu labada sikio la kufa linaweza kusikia dawa.
 
Lazima kuna kasoro kubwa kwa hili.
 
Nimefurahi kidogo kusikia pass mark itakuwa wastani wa 30%,watoto watasoma maana wanapewa only one last card.Hakika kama watasimamia vizuri Div 0 zitapungua sana.
 
Back
Top Bottom