Mtihani wa Kidato cha 2 urudishwe,watoto wamekuwa vilaza sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN
Mtihani wa Kidato cha 2 urudishwe,watoto wamekuwa vilaza sana
Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ulimakafu, Sep 7, 2011.
1. U
Ulimakafu JF-Expert Member
#1
Sep 7, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 17,966
Likes Received: 723
Trophy Points: 280
Serikali ingefanya liwezekanalo kuurejesha mtihani wa kidato cha pili,maana watoto wa siku hizi wanamaliza f.4 hata kuandika insha kidogo hawawezi.Kwa kifupi wengi wanamaliza wakiwa vilaza zaidi ya vile walivoingia.Matokeo ya F.4 mwaka 2010 ni ushahidi.
2. Apollo
Apollo JF-Expert Member
#2
Sep 7, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,356
Trophy Points: 280
Jana nimesoma gazeti fulani eti wameshusha wastan wa kufaulu..badala ya 31% umekuwa 25% kisa watu wengi wanashindwa kupass kwa kiwango hicho.. Hawa jamaa wanafikiria kwa .........! Haiwezekani watumie mbinu hiyo kusuluhisha. Mimi nilitegemea wangefanya jitihada wanafunzi wafaulu sasa wamepunguza kiwango cha kufaulu..hivi wanawajenga wanafunzi au wanawabomoa? :( :-x
3. Makindi N
Makindi N JF-Expert Member
#3
Sep 7, 2011
Joined: Mar 14, 2008
Messages: 1,068
Likes Received: 12
Trophy Points: 135
Tanzania zaidi ya unavyoijua........... Unapokua na viongozi vilaza wakiongozwa na Rais kilaza lazima utegemee hayooooooo @ Apollo....
4. Apollo
Apollo JF-Expert Member
#4
Sep 7, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,356
Trophy Points: 280
we acha tu ndugu yangu. Tunazidi kuteseka tu, maisha yanapanda, taaabu ndio usiseme.
5. Shine
Shine JF-Expert Member
#5
Sep 7, 2011
Joined: Feb 5, 2011
Messages: 11,514
Likes Received: 16
Trophy Points: 0
Ndo akili zetu waafrika zilivyo badala yakutatua tatizo tunaongeza tatizo juu yake
6. Shine
Shine JF-Expert Member
#6
Sep 7, 2011
Joined: Feb 5, 2011
Messages: 11,514
Likes Received: 16
Trophy Points: 0
Kwani tz bila ccm haiwezekani? 2015 tufanye aumuzi thabiti kukikomboa kizazi kijacho au ikishindikana turudi mtaani kama wenzetu Tunisia japo damu itamwagika tupate mwelekeo wa nchi yetu
7. M
Mr.creative JF-Expert Member
#7
Sep 7, 2011
Joined: Aug 8, 2011
Messages: 504
Likes Received: 17
Trophy Points: 35
Wangefanya 41% ingekuwa nafuu sasa...cjui kama tutafika kwa hali hii
8. Apollo
Apollo JF-Expert Member
#8
Sep 7, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,356
Trophy Points: 280
shine, . :) inabidi tubadilike..tubuni njia mbadala kutatua matatizo sio kuyaongeza.
9. Mzee
Mzee JF-Expert Member
#9
Sep 7, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 12,969
Likes Received: 2,963
Trophy Points: 280
We unataka wa feli form2 ili waende wapi?. Mazingira mabovu. Waacheni watoto wasome kwa starehe bana.
10. Nguchiro
Nguchiro JF-Expert Member
#10
Sep 7, 2011
Joined: Nov 23, 2009
Messages: 365
Likes Received: 4
Trophy Points: 35
11. Nguchiro
Nguchiro JF-Expert Member
#11
Sep 7, 2011
Joined: Nov 23, 2009
Messages: 365
Likes Received: 4
Trophy Points: 35
Sure kiongozi akiwa kipofu tunasema anaowaongoza wengine au anawapoteza?dah nchi hii upupu mtupu
12. mikatabafeki
mikatabafeki JF-Expert Member
#12
Sep 7, 2011
Joined: Dec 29, 2010
Messages: 12,837
Likes Received: 2,101
Trophy Points: 280
daah mkuu au kwakua ushapita na ni productive...................mna wao wanaeza wakapita lakin sio productive
13. Mzee
Mzee JF-Expert Member
#13
Sep 8, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 12,969
Likes Received: 2,963
Trophy Points: 280
elimu hiyo mnayoisifia imelinufaisha vip taifa?. Tanzania hii hatujawahi kuwa na Elimu bora, hata hiyo uliyosoma pia ni mbovu tu.
14. Apollo
Apollo JF-Expert Member
#14
Sep 8, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,356
Trophy Points: 280
Bora umemwambia maana amezungumza pumba na mashudu tu
15. Apollo
Apollo JF-Expert Member
#15
Sep 8, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,356
Trophy Points: 280
Sarlimu, sasa ndugu yangu hii comment ndio umetumia akili yako ya kuzaliwa au kuna mtu pembeni alikuambia upost hivi?
kwa hiyo unaona bora wanafunzi na sio wanafunzi bora? Tunajenga tunabomoa?
16. U
Ulimakafu JF-Expert Member
#16
Sep 8, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 17,966
Likes Received: 723
Trophy Points: 280
Kweli ufikiri ki masaburi.
17. U
Ulimakafu JF-Expert Member
#17
Sep 8, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 17,966
Likes Received: 723
Trophy Points: 280
Tutakuwa tunataniana, 25%?
18. Apollo
Apollo JF-Expert Member
#18
Sep 8, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,356
Trophy Points: 280
kwa bahati mbaya ndugu yangu, ninatumia mobile kwa sasa, ningekupa hiyo link. Mimi imenisikitisha sana.
19. U
Ulimakafu JF-Expert Member
#19
Sep 8, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 17,966
Likes Received: 723
Trophy Points: 280
Poa ukijatulia nitupie.
20. U
Ulimakafu JF-Expert Member
#20
Sep 8, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 17,966
Likes Received: 723
Trophy Points: 280
Hii ingekuwa poa zaidi.
Loading...