mpenda kupenda
Member
- Jul 22, 2018
- 44
- 32
Kwahiyo hawatumii peni hata kidogo?Huo ni mfumo wa OMR na ulianza kutumika mwaka 2012,na penseli ya HD inatumika kushedi sehemu ya jibu sahihi,na siwezi kuficha mwaka 2012 nilimaliza darasa la saba sisi tulikua wa kwanza kutumia mfumo huo,kwa hiyo sio jambo geni kwa sasa.
Aisee humu kumbe tupo na wajukuu zetuHuo ni mfumo wa OMR na ulianza kutumika mwaka 2012,na penseli ya HD inatumika kushedi sehemu ya jibu sahihi,na siwezi kuficha mwaka 2012 nilimaliza darasa la saba sisi tulikua wa kwanza kutumia mfumo huo,kwa hiyo sio jambo geni kwa sasa.
Mkuu humu tupo na makinda kabisaAisee humu kumbe tupo na wajukuu zetu
Ndiyo maana tunapata tabu sana kuelewana...Aisee humu kumbe tupo na wajukuu zetu
Mtihani una consist 45 questions..swali la 1-40 ni multiple choice wanashade kwa pencil...but the remaining qustions ni fill in the blank space (hapa wanatumia kalamu)Kwahiyo hawatumii peni hata kidogo?
Dah tupo na wajukuu zetu humu aiseeHuo ni mfumo wa OMR na ulianza kutumika mwaka 2012,na penseli ya HD inatumika kushedi sehemu ya jibu sahihi,na siwezi kuficha mwaka 2012 nilimaliza darasa la saba sisi tulikua wa kwanza kutumia mfumo huo,kwa hiyo sio jambo geni kwa sasa.
Kawaida babu na sisi tumekuja humu tupate maarifa toka kwenu.Dah tupo na wajukuu zetu humu aisee
H
Wakati mimi namaliza hakuna sehemu tuliyotumia peni labda kama wameboresha kidogoKwahiyo hawatumii peni hata kidogo?
Baadhi ndio wanasumbua wengine tunajua nini tunajifunza humu,nimeanza kusoma jamiiforum bila kuwa member toka niko form two 2014 humu kwangu ni sehemu ya darasaNdiyo maana tunapata tabu sana kuelewana...
Babu mjukuu wako niko humu najifunza mambo mbalimbali.Aisee humu kumbe tupo na wajukuu zetu
Mmmmh kumbe Kuna vitoto humuHuo ni mfumo wa OMR na ulianza kutumika mwaka 2012,na penseli ya HD inatumika kushedi sehemu ya jibu sahihi,na siwezi kuficha mwaka 2012 nilimaliza darasa la saba sisi tulikua wa kwanza kutumia mfumo huo,kwa hiyo sio jambo geni kwa sasa.
Safi sana, endelea kuchota hekima bwana mdogoBabu mjukuu wako niko humu najifunza mambo mbalimbali.
Hata Na Ndugai yamo humu humuMkuu si makinda ila tuna wajukuu. N.a. wake wadogo bado wanazaa
Huo ni mfumo wa OMR na ulianza kutumika mwaka 2012,na penseli ya HD inatumika kushedi sehemu ya jibu sahihi,na siwezi kuficha mwaka 2012 nilimaliza darasa la saba sisi tulikua wa kwanza kutumia mfumo huo,kwa hiyo sio jambo geni kwa sasa.
Mtakuwa mlimaliza na bashite mwaka mmoja