Mtihani Wa darasa la Saba

Jul 22, 2018
44
32
Wana jamii .
Naomba kuuliza .
Mtoto wangu anayefanya mtihani Leo Wa darasa la saba .
Wameambiwa katika.mtihani asije na pen .mtihani itafanywa na pencil .
Je hii nisheria ya wizara?
Kufanya mtihani kwa kalamu yenye kufutika kuna hatari hata ya kuweza kufuta jina au namba yako ya mtihani na itawekwa ya mwanafunzi mengine.
Au nisheria ya shule?
20190911_080355.jpeg
 
Huo ni mfumo wa OMR na ulianza kutumika mwaka 2012,na penseli ya HD inatumika kushedi sehemu ya jibu sahihi,na siwezi kuficha mwaka 2012 nilimaliza darasa la saba sisi tulikua wa kwanza kutumia mfumo huo,kwa hiyo sio jambo geni kwa sasa.
Kwahiyo hawatumii peni hata kidogo?
 
Huo ni mfumo wa OMR na ulianza kutumika mwaka 2012,na penseli ya HD inatumika kushedi sehemu ya jibu sahihi,na siwezi kuficha mwaka 2012 nilimaliza darasa la saba sisi tulikua wa kwanza kutumia mfumo huo,kwa hiyo sio jambo geni kwa sasa.
Mmmmh kumbe Kuna vitoto humu
 
Pen wanatumia swali kuanzia 41 - 45 tu mengine 1-40 ni pencil lkn huyo kuambiwa hivyo so tatizo shule nyingi siku hizo zina kila kitu pencil HD na pen za kawaida wanapatiwa shuleni
 
Mtakuwa mlimaliza na bashite mwaka mmoja
Huo ni mfumo wa OMR na ulianza kutumika mwaka 2012,na penseli ya HD inatumika kushedi sehemu ya jibu sahihi,na siwezi kuficha mwaka 2012 nilimaliza darasa la saba sisi tulikua wa kwanza kutumia mfumo huo,kwa hiyo sio jambo geni kwa sasa.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom