Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,837
Haya Wenye mabasi wameigomea serikali, Waziri mkuu ambaye ndiyo Kiongozi Mkuu wa Serikali na ambaye pia ametangaza rasmi kugombea Uraisi yupo na amekaa kimya, sasa kama anashindwa kutatua mgogogro mdogo kama huu ni kipi hata kinamsukuma kutaka kuwa Raisi wa JMT?
Kesho Wakenya wakisema Serengeti ni yao kwa kuwa Masai Mara muendelezo wa Serengeti atafanya nini kama Raisi?
Kwangu mimi hiki ndio kipimo cha Pinda na tayari tulipaswa huyu jamaa tumtoea na kumsahau kabisa ktk Uraisi!