Mtifuano Mkutano wa CCM - Dodoma

Mwisho watasema kuwa CHADEMA wamepandikiza watu wao wasambaze vipeperushi ili kudhoofisha mshikamano ndani ya chama!!
 


Maandamano yalifeli Mmekimbilia vipeperushi
 
Kwa vyovyote vile hii si dalili nzuri kwa chama tawala.
Umoja na mshikamano umeenda wapi?
 

Ngariba
Tayari
 
huyu matefo aliyeongea na waandishi nimganga njaa tu wote wameoza hakuna msafi ccm
 
Nyerere alisema wapinzani wa CCM watatoka CCM humohumo.
 

Hivi sasa hazijatenganishwa zipo kwa kichwa kimoja, lakini nchi inayumba tayari
 

Aachwe amalize mda wake? Sisi tunamuombea adondoke hata Leo akafie huko mbali! Miaka mitatu mingi sana huyu jamaa alikuwa ni wa kupiga chini! Ila kwa sahihi anawaongoza udhaifu basi anajiona uongozi wake umetukuka! Mbona siku hizi haanguki?
 

Labda nilishawahi kuheshimu sana michango yako kwenye jukwaa hili la siasa!!ila kwa upuuzi ulioandika hapo itabidi nianze kutafuta pa kuihamishia heshima yangu,naanza kuona kuwa hapo ilpo si mahali sahihi,pole mtambuzi!!kumbe wakati mwingine ni mganguzi!!in short hakuna cha maana ulichoandika hapo!!u-dudu mtupu.
 
waacheni wafu wazikane maana naona wote wamechokana,Napee + jk+ mkama = ccm iliyokufa
 
Huyo fred ni nani nchi hii? Au ndio hao anaowazungumzia zitto wenye mapesa yao huko uswisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…