DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,961
Tumeshamfanyia booking hapo Kawe...
H.Mdee stay tuned
H.Mdee stay tuned
Msimdanganye dogo akaadhirika bure. Ukonga na hata Kawe hawezi shinda. Majimbo hayo hayataki viongozi wa vyeti bandia. Asubiri tu uteuzi wa baba yakeTumeshamfanyia booking hapo Kawe...
H.Mdee stay tuned
Sasa kwa nini rais asiingilie akamuonya makonda kuhusu kwenda jimboni kwa waitara bila kumjulisha, lakini hapo na mimi nime note point, ukiona kiongozi wa serikali anakuja eneo lako la kazi bila kukujulisha wewe either uwe mbunge ama diwani ujue wazi kwamba haukubaliki kwake, nami natamani wakamtosa ili ajue faida za kuwatelekeza wapiga kura wake waliomchagua kwa tiketi ya chadema, au anadhani alikuwa peke yake ??!!Yeye kama nani hadi apewe taarifa na rais wa mkoa. Anapaswa kujua ratiba za mambo yanayojiri jimboni kwake.
Kama wote wamemficha aanze kujipanga bado mapema dalili za mawingu hizo..
Kweli, subiri tuone watakavyotoswa mwakani, au magufuli ataingilia kati atoe amri kwamba wote waliotoka upinzani lazima waendelee na nafasi zao ??Hata wale wasaliti wenzake nao wana wakati mgumu sana wa kuwashawishi wenye chama chao, kuwapa nafasi nyingine.
Ni bora mara mia wakatumia vizuri mafao yao watakayolipwa baada ya kuvunjwa kwa bunge hapo mwakani.
Ebu endelea basi
GwambinaHuko Misungwi Mnyeti yeye hajaonyesha nia mkuu?
Makonda kama anawania kugombea ubunge DSM, akagombee jimbo la Mnyika au lile la Halima Mdee. Au ana waogopa hao? Hilo la Ukonga tayari lilishakombolewa. Kama ana ubavu akakomboe moja ya majimbo ya DSM ambayo bado hayajakombolewa. Halafu kumlaumu kada mwenzako kwamba hajajenga barabara, kwani barabara si zinajengwa na JPM? Mbunge ana uwezo gani wa kujenga barabara? Si ni kumwonea tu? Makonda akagombee ubunge kwao Kolomije kwa Kitwanga au kama ni DSM basi akapambane na Halima au Mnyika au Kubenea.Kweli sisi wana Ukonga hatumtaki Waitara tunataka Makonda.
Tuna imani na Makonda.
Gwambina
Wee kunywa Bia, barabara itakusaidia nini bnana??"Mbunge wetu (Mwita Waitara-Ukonga) hatoshi, japo yupo CCM na ana wadhifa mkubwa. Nilikutana naye Dodoma nikamuuliza kuhusu barabara, alichofanya alininunulia bia halafu akaniambia, we kunywa bia, mambo ya barabara yatakusaidia nini."- Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Dar es Salaam.
-
Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara, amedai wananchi waliomlalamikia RC wa DSM Paul Makonda, kuwa ametelekeza jimbo lake, na kumtaka Makonda kugombea Ubunge jimbo hilo, amekiita ni hujuma na kilipangwa. Amesema Makonda angemshirikisha wakati anafanya ziara jimboni kwake.
Nimekupata mkuuNamaanisha hata akikatwa ndani ya CCM atakuwa hajapoteza chochote maana hata angekuwa CDM hiyo 2020 chama kisingempitisha kutokana na kutokuelewana na Mbowe na alikuwa ameambiwa kabisa asahau ubunge.
"Mbunge wetu (Mwita Waitara-Ukonga) hatoshi, japo yupo CCM na ana wadhifa mkubwa. Nilikutana naye Dodoma nikamuuliza kuhusu barabara, alichofanya alininunulia bia halafu akaniambia, we kunywa bia, mambo ya barabara yatakusaidia nini."- Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Dar es Salaam.
-
Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara, amedai wananchi waliomlalamikia RC wa DSM Paul Makonda, kuwa ametelekeza jimbo lake, na kumtaka Makonda kugombea Ubunge jimbo hilo, amekiita ni hujuma na kilipangwa. Amesema Makonda angemshirikisha wakati anafanya ziara jimboni kwake.