Mtifuano jimbo la Ukonga Makonda Vs Waitara. Mjumbe amtuhumu Waitara kumhonga bia ili asizungumzie maendeleo jimboni

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
"Mbunge wetu (Mwita Waitara-Ukonga) hatoshi, japo yupo CCM na ana wadhifa mkubwa. Nilikutana naye Dodoma nikamuuliza kuhusu barabara, alichofanya alininunulia bia halafu akaniambia, we kunywa bia, mambo ya barabara yatakusaidia nini."- Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Dar es Salaam.

-
Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara, amedai wananchi waliomlalamikia RC wa DSM Paul Makonda, kuwa ametelekeza jimbo lake, na kumtaka Makonda kugombea Ubunge jimbo hilo, amekiita ni hujuma na kilipangwa. Amesema Makonda angemshirikisha wakati anafanya ziara jimboni kwake.

Cap.PNG
 
"Mbunge wetu (Mwita Waitara-Ukonga) hatoshi, japo yupo CCM na ana wadhifa mkubwa. Nilikutana naye Dodoma nikamuuliza kuhusu barabara, alichofanya alininunulia bia halafu akaniambia, we kunywa bia, mambo ya barabara yatakusaidia nini."- Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Dar es Salaam.
Tunaomba clip , ama sivyo uombe radhi kwa kumuongopea mwita waitara( mb)
 
Huyo jamaa ukimsikiliza unajua kabisa kama kapangwa
"Mbunge wetu (Mwita Waitara-Ukonga) hatoshi, japo yupo CCM na ana wadhifa mkubwa. Nilikutana naye Dodoma nikamuuliza kuhusu barabara, alichofanya alininunulia bia halafu akaniambia, we kunywa bia, mambo ya barabara yatakusaidia nini."- Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Dar es Salaam.
 
"Mbunge wetu (Mwita Waitara-Ukonga) hatoshi, japo yupo CCM na ana wadhifa mkubwa. Nilikutana naye Dodoma nikamuuliza kuhusu barabara, alichofanya alininunulia bia halafu akaniambia, we kunywa bia, mambo ya barabara yatakusaidia nini."- Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Dar es Salaam.
Mtaje jina huyo mjumbe vinginevyo hizi ni porojo za kwenye vilabu vya mbege!
 
Back
Top Bottom