Mgombea ubunge Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara amesema amekataa kuwa kenge kwenye safari ya mamba ya Chadema

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,427
32,196
Dar es Salaam. Mgombea ubunge Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara amesema amekataa kuwa kenge kwenye safari ya mamba ya Chadema.

Waitara alisema hayo alipokuwa akizungumza na wananchi wa Kata ya Bombambili eneo la Kivule kwenye kampeni ya kuomba ridhaa ya kuongoza tena Jimbo la Ukonga.

Alisema baadhi ya viongozi wa Chadema akiwamo Freeman Mbowe, kwenye majimbo yao kuna huduma muhimu ilihali yeye kwake kuna shida ya maji, umeme, barabara ndiyo maana hawaoni shida kuwakataza wenye majimbo yenye hali mbaya kama lake kuonana na mawaziri wenye dhamana.

“Mbowe jimboni kwake Hai kuna umeme hadi migombani, Mbeya kwa Sugu kuna halikadhalika, nikitaka kuonana na mawaziri ambao nitashirikiana nao nakatazwa.

“Waswahili wanasema kwenye safari ya mamba na kenge wamo, nimekataa kuwa kenge kwenye safari ya Chadema kwa sababu mimi najua Bombambili kuna shida ya barabara, maji na umeme. Naonekana ni mbunge nisiyefanya kazi, jimbo langu lina changamoto nyingi nimejiongeza,” alisisiza Witara.

Kwa mujibu wa Waitara, amefuata mafunzo ya wahenga yasemayo akili za kuambiwa changanya na zako, hivyo ameamua kuzichanganya na kuamua kuhama.

Alifafanua kuwa amejiridhisha bila shaka kuwa kwa siku za hivi karibuni kwa uongozi wa Mbowe hadhani kama atashika dola.
Alisema kwa mchezaji wa mpira siku zote ana mawazo ya kucheza timu itakayokuwa bingwa; “kwa upinzani huu utasubiri sana, nimeamua nijiunge na timu inayocheza ligi kuu nimeachana na wale wa mchangani,” alisema Waitara.

Waitara alidai kuwa hata aliposhinda jimbo hilo ni juhudi zake binafsi na wananchi wa Ukonga na siyo Chadema.
Alisema aligombea akiwa kama yatima alikusanya michango mwenyewe, kampeni meneja mwenyewe na hakuna hata mmoja kutoka Chadema aliyemsaidia.

“Tumalizeni hili la ubunge halafu tutakuja kuzungumza la udiwani, kwani tunataka kuwang’oa wote waliobaki ili tuongee lugha moja kwa ajili ya maendeleo ya wana-Ukonga, ” alisema Waitara.

Alisema hataki kujibizana na Chadema kwa mambo wanayosema kwenye mikutano yao, lakini kama yupo anayetaka kuona vyeti vyake yupo tayari kuvionyesha hadharani na kwamba viongozi wa chama hicho wameamua kusema uongo.

Kwa upande wa mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (Kibajaji) alisema matatizo ya wananchi wa Ukonga yatapata suluhu iwapo watamchangua mbunge mwenye mawasiliano na Serikali.

Alisema hakuna kiongozi anayeweza kutatua kero za wananchi kama hana mawasiliano na viongozi wa Serikali na kwa Waitara anayo nafasi kwa sababu atakuwa anakutana nao ndani na nje ya bunge.
Alisema Waitara anapaswa kupewa kura ili atatue tatizo la jimbo hilo .

“Pimeni kazi atakazofanya Asia Msangi wa Chadema kisha angalieni kazi za Waitara. Waitara ameshafanya kazi bungeni kwa miaka miwili anajua kila kitu, tunatafuta mbunge hatutafuti watu wa kwenda kuwamfundisha choo cha bunge kilipo,” alisisitiza mbunge huyo machachari.

My take:
Naona waitara kafeli kabisa kuwashawishu wana ukonga ni kwa namna gani katoka chadeka kwenda ccm na kwa vipi wana ukonga atawasaidia kutatua kero zao kabaki kushusha kashfa na vijembe.

Hivi wafuasi wa ccm hizo ndio sera mnazoziitaji chamani kwenu? Hizo sera mnazilipa pesa watu kama hawa wasimame majukwaani kuongea hayo mambo badala ya kushawishi umma ni kwa namna gani anaweza kufaa tena kuchaguliwa?

Huyu kaendoka chadema kwa kulazimishwa bado anaipenda chadema maana haya maneno ya mwanamke kabisa si kariba ya mwanaume anaehitaji uongozi wa nafasi ya ubunge kwenda kuwa mtunga sera na muwakilishi wa wananchi.
 
Sasa sijui mbowe alimruhusu sugu kuonana na hao mawaziri ili umeme uwepo mbeya ifike mahali ccm mumwambie mwenyekiti wenu na polepole hii tabia ya kusifiwa na manunuzi ife anawalazimisha watu kuongea vitu vya kitoto wakati ni watu wazima hii ni aibu hadi kwenye familia yake kwa hizo kauli.
 
Atutolee ulevi wake hapa bwege tu .
 
kwa hiyo amekubali kuwa fisi
Huyu mzee hana sera hana sababu za kuutaka ubunge teña alioukataa anachoongea ni cha kitoto mno sababu za kumtoa chadema ni mfu sana.
 
Kenge ni kenge tu, tangu lini kenge akakubali kuwa kwenye msafara wa mamba
Hahaha anasema kwa mbowe kuna umeme na kwa sugu sasa sijui mwenyekiti wake wa ccm atamjengea na yeye kiwanja cha ndege na mataa ya barabarani kama chato?
 
Aeleze ni vipi Mbowe alizuia jimboni kwake Waitara wasipate maji na umeme, naona anatapatapa, NEC na polisi wakijipanga vizuri atashinda.
 
Huyu mzee hana sera hana sababu za kuutaka ubunge teña alioukataa anachoongea ni cha kitoto mno sababu za kumtoa chadema ni mfu sana.
Unadhani ni mzee huyo? Ni kuishi kama mchawi na ulevi tuu ndio vimeharibu muonekano wake
 
Waitara alidai kuwa hata aliposhinda jimbo hilo ni juhudi zake binafsi na wananchi wa Ukonga na siyo Chadema.
Alisema aligombea akiwa kama yatima alikusanya michango mwenyewe, kampeni meneja mwenyewe na hakuna hata mmoja kutoka Chadema aliyemsaidia.
Nafasi ya kugombea Ubunge nayo alijipa?
Huyu jamaa hata Shukrani hana, Mbunge anakatazwa kuonana na Waziri! Kiapaji kingine cha uongo..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom